Graph
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 2,736
- 6,155
Then sitaweza kukujibu kitaalamu ukanielewa..Thanks
Hehehe mkuu una biti, hutomjibu akuelewe kwa sababu ipi hasa? Kujua qword na dword hakumsaidii mtu kuelewa computer architecture, a word is simply 2bytes, dword ni 4bytes na qword ni 8bytes, ni unit tu ya bits of information sawa na unit nyingine, ungetumia neno 4bytes ungeeleweka vizuri tu.
CHIEF MKWAWA sioni alipokosea, ni kweli 32bits processors zina~max at 4GB na 64-bits zinaenda hadi 16.8 million terabytes.
Sababu ni simple tu, sioni kwa nini unazunguka around the bush.
Processor inavokua inataka kuexecute instruction flani inayoinvolve kuweka au kufetch data kutoka kwenye memory inatumia address, hii address ndio point ambayo hiyo data inapatikana kwenye memory, address zenyewe zinakua in bits, mfano 32-bit processor ina address ambayo ni 32-bit, 32-bits maana yake kuna uwezekano wa 2^32 different combinations za address ambayo ni approximately 4Billion bits = 4GB. Sasa ukiwa na RAM zaidi ya 4GB kwenye 32-bit processor haina maana kwa kua processor yako ikiomba data itakua inaomba data ambazo zinapatikana ndani ya 4GB peke yake, hizo sehemu nyingine zote hazitumiki.
Mbona very easy kuelezea mkuu