Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 67,033
- 173,724
Yeah ni kweli lakini tukumbushane kidogo kwamba OS pasipo na hardware kompyuta inakuwa si mali kitu, hivyo OS husika itatakiwa iendane na hardware configurations ambayo kimsingi itahusisha zaidi kichakata (processor) na hizo buses zitakazo tawanywa kupelekea taarifa kwenye maeneo tofauti. Processor ndio ambayo itapambanua aidha utumie OS ya 32bits ama 64bits kulingana na aina ulionayo, commonly huwa zinaandikwa kwa lugha ya kibiashara x64 ama x86 zikimaanisha 64bits ama 32bits respectively.Mkuu umeeleza vzuri na nimekupa like yangu....ila Mkuu unavosema kuna computer ambazo ni 32bits Na nyingine ni 64 bits nadhani unakosea kidogo...kwa uelewa wako wa computer nadhani ungesema OS ndo inaweza kuwa 32 bits au 64 bits..