32 bit vs 64 bit

Sultan Kipingo

JF-Expert Member
Mar 4, 2013
236
175
Habari wakuu
Naomba kufahamu tofauti na maana ya 32 bit na 64 bit katika pc.

Pili Je ikiwa pc game lina recommend 64 bit kuna uwezekano kuplay game hilo keenye pc ya 32 bit?

Ahsante.
 
64bit ndio nzuri zaidi ina perfomance kubwa na inaplay vyote vya 32bit na 64bit. wakati 32bit yenyewe inakubali vitu vya 32bit tu haikubali vya 64bit

moja ya tofauti kubwa ni kwamba 64bit inatumia ram zaidi ya 3gb unaweza eka ram hata 64gb wakati 32bit haiwezi hata kufika 4gb
 
Hapo kwenye RED Mkuu...
Hapo kuna walakini sio siri, navyojua hio concept ya bits iwe 32/64 inatokana na kitu kinaitwa data bus zilizopo katika mfumo wa computer. Kazi ya data bus ni kusafirisha taarifa (data) kutoka katika eneo moja kwenda jingine ndani ya computer aidha toka kwenye Ram kwenda kwa Cpu n.k. Bus ni mkondo unaobeba hizo data.

Data ni taarifa yoyote isio rasmi yaweza kuwa tarakimu,herufi ama alama za kiuandishi. Hizi data huwa na vipimo maalum kitaalamu navyo tulianzia bits, bytes, kilobytes, megabytes, gigabytes na sasa naona tumekwishafikia terabytes katika matumizi yetu ya kawaida.
Tukija kwenye swala la mtoa mada, wanaposema 32bits ama 64bits ina maana kwamba kompyuta husika ina mkondo unaowezesha kusafirisha kiwango cha taarifa yenye ujazo wa 32bits vivyo hivyo huwa kwa 64bits. Ukitazama haraka utaona kwamba 64bits ni mara mbili ya ile 32bits hivyo 64bits inakuwa bora zaidi.

Applications zake katika matumizi ya kompyuta ni kwamba kunakuwaga na softwares ambazo ili kuweza kuzitumia zinahitaji teknolojia ya usafirishaji wa taarifa uwe kwa kiwango cha 32bits na zile zinazodai 64bits. Hivyo nzuri ni kuwa na komyuta yenye kiwango cha 64bits maana itakupa nafasi ya kutumia hata softwares zitazohitaji kiwango cha chini ambacho ni 32bits kwa sasa!
 
32bit haifik hta 4gb ram? How?
Ufafanuz please'
 
nioneshe computer yenye 32bit na 8gb ram
 
32bit haifik hta 4gb ram? How?
Ufafanuz please'
processor zote za 32bit uwezo wake mwisho ni 4gb ram unless unarun server edition ya windows ndio kuna workaround za kubypass lakini pia haitakusaidia sababu 32bit software pia hazina nguvu kivilie.

ngoja nitaandika kirefu zaidi kuna kitu nasubiria kiishe hapa
 
32bit haifik hta 4gb ram? How?
Ufafanuz please'
mkuu ukiona bit kwenye processor ujue ni exponent (kipeuo au kipeo?) ya 2

hivyo 32bit ni sawa na 2^32 ambayo ni sawa na 4.2 billion. kila bit moja inasafirisha byte moja ya hio ram. hivyo max kwa 32bit processor ni 4.2billion bytes ambayo ni sawa na 4gb.

lakini computer haiwasiliani na ram peke yake inawasiliana na vitu vyengine pia kama vile PCI (sehemu zinazochomekwa gpu, wifi adapter etc), usb host (unapochomeka flash) nk hivyo bit zote za processor hazitumiki kwenye ram.

mwisho wa siku ukiwa na processor ya 32bit huwezi tumia hadi 4GB ram.

64 bit yenyewe ni 2^64 ambayo ni bits nyingi sana hata haziandikiki hapa ndio maana kuna computer za 64bit zina ram hadi 512Gb ambazo ni zaidi ya bytes bilioni 500
 
mi nina pc ambayo ni lenovo celeron i2 ina 64bits na ram gb2 hdd 500 je naweza weka apps nying na michezo kama fifa 15 na nyengnezo?
 
onge

ongeza ram hadi 4gb

pia tafuta games ambazo ni nyepesi kwa fifa ya mwaka 2014 ni nyepesi sana na kwa pes ya 2013 ni nyepesi pia.
 
Hapo kuna walakini sio siri, navyojua hio concept ya bits iwe 32/64 inatokana na kitu kinaitwa data bus zilizopo katika mfumo wa computer. Kazi ya data bus ni kusafirisha taarifa (data) kutoka katika eneo moja kwenda jingine ndani ya computer aidha toka kwenye Ram kwenda kwa Cpu n.k. Bus ni mkondo unaobeba hizo data.

Data ni taarifa yoyote isio rasmi yaweza kuwa tarakimu,herufi ama alama za kiuandishi. Hizi data huwa na vipimo maalum kitaalamu navyo tulianzia bits, bytes, kilobytes, megabytes, gigabytes na sasa naona tumekwishafikia terabytes katika matumizi yetu ya kawaida.
Tukija kwenye swala la mtoa mada, wanaposema 32bits ama 64bits ina maana kwamba kompyuta husika ina mkondo unaowezesha kusafirisha kiwango cha taarifa yenye ujazo wa 32bits vivyo hivyo huwa kwa 64bits. Ukitazama haraka utaona kwamba 64bits ni mara mbili ya ile 32bits hivyo 64bits inakuwa bora zaidi.

Applications zake katika matumizi ya kompyuta ni kwamba kunakuwaga na softwares ambazo ili kuweza kuzitumia zinahitaji teknolojia ya usafirishaji wa taarifa uwe kwa kiwango cha 32bits na zile zinazodai 64bits. Hivyo nzuri ni kuwa na komyuta yenye kiwango cha 64bits maana itakupa nafasi ya kutumia hata softwares zitazohitaji kiwango cha chini ambacho ni 32bits kwa sasa!
Umemaliza, safi!!
 
Mkuu umeeleza vzuri na nimekupa like yangu....ila Mkuu unavosema kuna computer ambazo ni 32bits Na nyingine ni 64 bits nadhani unakosea kidogo...kwa uelewa wako wa computer nadhani ungesema OS ndo inaweza kuwa 32 bits au 64 bits..
 
zipo processor za 32bit na 64bit
 
Back
Top Bottom