30 wahofiwa kufukiwa na Mgodi Mwanza

Halisi

JF-Expert Member
Jan 16, 2007
2,802
613
Mgodi mmoja wa dhahabu mkoani Mwanza kilometa 50 kutoka Misungwi kuna ajali mgodi wa dhahabu umeangukia na kuua watu zaidi ya kumi sasa hivi. Habari zaidi baadae.

*************
Habari zinasema idadi ya watu waliofukiwa inazidi 30
 
Mgodi mmoja wa dhahabu mkoani Mwanza kilometa 50 kutoka Misungwi kuna ajali mgodi wa dhahabu umeangukia na kuua watu zaidi ya kumi sasa hivi. Habari zaidi baadae

Huko huko Geita kuna mwingine umevamiwa na wananchi wenye uchungu wa mali yao huku mkoloni alikuwa akisafirisha vitofali 34 vya dhahabu vyenye kilo 24kg kila kimoja.
 
Mungu azid kuwapa nguvu hao Wazalendo wanaozuia Rasilimali zetu zisiibiwe, mtawaita Majambazi kwangu mimi nawaita Wazalendo wenye uchungu na rasilimali zao
 
duh.... hii misiba hii ni ajali uzembe au ajali-ajali?...hakika walalahoi tutaisha
 
Huko huko Geita kuna mwingine umevamiwa na wananchi wenye uchungu wa mali yao huku mkoloni alikuwa akisafirisha vitofali 34 vya dhahabu vyenye kilo 24kg kila kimoja.
Hivi majambazi nao ni watu wenye uchungu na mali zao nchi?
 
watu wa uokozi mpo wapi,huo mgodi ni local mgodi ama kuna mamitambo ya kisasa hapo yanachimba,kama ni local mgodi kazi ya kuwaokoa huwa inakuwa ngumu sana kutokana na uchimbaji wao huwa si wa mpangilio
 
Wachimbaji wadogo wadogo? Feel so sorry for all those affected by the incident.
 
Back
Top Bottom