Elections 2010 3 Days left to Election by Political analyst BM

Zimebakia siku 3 tuu hadi uchaguzi mkuu Tanzania...Na nimejaribu kukaa na kusoma post za watu wengi sana humu na naona wengi mnataka change In Tanzania which is good so do i...Lakini nani kasema Dr slaa ataleta any changes wakati Dr Slaa ni CCM..Yaani Majority mnamuona Dr Slaa kama mungu vile. Let me tell you something Dr Slaa katokea CCM na hata alianzia TANU. Kazaliwa mwana 1948 jamani huyu mzee atakuwa na mawazo gani mapya kweli ambayo CCM hawana? To me sioni kitu chochote zaidi naona Dr Slaa anachofanya ni kupayuka na kupasua mabomu kama Mrema alivyofanyaga miaka ilee which wont solve our problems. Matatizo ya wananchi kama maji, kazi, chakula na afya hayapewi kipaumebele kutwa nzima kupiga makelele ufisadi ufisadi and you call that change?

If we really need change into our country and move forward ni kumchagua mtu ambaye hajatokea CCM wala hakuanzia enzi za TANU lakini bila ya hivyo ni kama mnampigia mbuzi gitaa tuu trust me on this...Najua mtabisha sana and here is my Take CCM wana win tena this time na ushauri wa bure Chadema msije mkasema mmeonewa naona mnalewa na madaraka haraka sana.Ila najua kwenye viti vya ubinge mtapata vingi sana hilo wala msiwe na shaka.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI...Jakaya Kikwete oyeee!

I really can't wait for Friday! untill then...........

By Political Analyst
Binti Maringo

She's a few fries short of a Happy Meal.
 
Then you call yourself Analyst ???? or culprit ???
 
Kweli duniani kuna watu na viatu
 
Because hypocrisy stinks in the nostrils one is likely to rate it as a more powerful agent for destruction than it is
 
Mjadala mzuri aliouanzisha BM ingawa ni kweli anajichanganya pale anapokubali haja ya mabadiliko wakati huo huo anashabikia CCM. lakini pia nafurahi kuwa amekubali kuwa kipindi hiki tutarajie kupata wabunge wengi wa upinzani. Kama ndivyo basi hii itakuwa njia moja ya kuleta mabadiliko kwani vikao maalum vya CCM vya kutengeneza msimamo wa hoja zinazopelekwa kujadiliwa bungeni vitakuwa havina maana tena. Watanzania wenzangu tusiogope kufa (sina maana kuwa tushike mapanga) kama tunataka kwenda peponi. Inaelekea watanzania wengi kwa sababu ya kuzaliwa na kukulia ndani ya shida hatuamini kama tunahaki ya kuishi peponi tukiwa hapa duniani , ila pepo ya hapa Tz ni ya wateuliwa tu wa CCM. Nasema tena uwezo tunao haki na sababu za kuishi kama wengine. Mungu katujaalia kila kitu cha kutuwezesha kuishi vizuri, tusimlaumu ila tujilaumu wenyewe (wapiga kura) kwa kuwalea mafisadi. Kuwaondoa madarakani CCM ni kuwaondoa mafisadi. TUSIIOGOPE njia ya peponi.
 
Zimebakia siku 3 tuu hadi uchaguzi mkuu Tanzania...Na nimejaribu kukaa na kusoma post za watu wengi sana humu na naona wengi mnataka change In Tanzania which is good so do i...Lakini nani kasema Dr slaa ataleta any changes wakati Dr Slaa ni CCM..Yaani Majority mnamuona Dr Slaa kama mungu vile. Let me tell you something Dr Slaa katokea CCM na hata alianzia TANU. Kazaliwa mwana 1948 jamani huyu mzee atakuwa na mawazo gani mapya kweli ambayo CCM hawana? To me sioni kitu chochote zaidi naona Dr Slaa anachofanya ni kupayuka na kupasua mabomu kama Mrema alivyofanyaga miaka ilee which wont solve our problems. Matatizo ya wananchi kama maji, kazi, chakula na afya hayapewi kipaumebele kutwa nzima kupiga makelele ufisadi ufisadi and you call that change?

If we really need change into our country and move forward ni kumchagua mtu ambaye hajatokea CCM wala hakuanzia enzi za TANU lakini bila ya hivyo ni kama mnampigia mbuzi gitaa tuu trust me on this...Najua mtabisha sana and here is my Take CCM wana win tena this time na ushauri wa bure Chadema msije mkasema mmeonewa naona mnalewa na madaraka haraka sana.Ila najua kwenye viti vya ubinge mtapata vingi sana hilo wala msiwe na shaka.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI...Jakaya Kikwete oyeee!

I really can't wait for Friday! untill then...........

By Political Analyst
Binti Maringo
Nakumiss tangu moyoni binti
nitafute tuendeleze zilee soga zetu zileee.
comment yako mie sichangii najua ntakwambia nini tukiwasiliana
 
are you insane? labda tukupeleke milembe wakakupime akili. Is january Makamba a new generation leader or a new generation fisadi. Huo uchafu wote anaoufanya kwako ni usafi...unaonekana umechafuka zaidi yake sema hauna nafasi ya kuuonyesha uchafu wako. go to hell........:nono::nono:
 
Ndo wale wale! wanadai wamesoma lakini wanashindwa kuona kama thithiem imeshindwa kuiongoza nchi na bado wanathubutu kusema kidumu chama.......kazi kweli kweli!

Kuandika kiingereza cha dha, dhe, dhi, dho dhu ndito kusome. BM siyo msomi kama anavyojiita eti ni Political Analyst.
Kwa kujua kwamba ni michosho jiulize jee kuna analysis yoyote aliyoifanya katika post yake. to my side its just a crap, crap, craapp
 
We hamnazo masikini, umepewa pumzi lakini mungu kakunyima busara ya kutambua mema na mabaya. Hata hivyo tunawajua beneficially wa Ufisadi, hamuwezi kuwa na mawazo mbadala bali ni mawazo mgando. Sisi tutachukua jukumu la kuwaombea na ku- fight for Independence.
 
Zimebakia siku 3 tuu hadi uchaguzi mkuu Tanzania...Na nimejaribu kukaa na kusoma post za watu wengi sana humu na naona wengi mnataka change In Tanzania which is good so do i...Lakini nani kasema Dr slaa ataleta any changes wakati Dr Slaa ni CCM..Yaani Majority mnamuona Dr Slaa kama mungu vile. Let me tell you something Dr Slaa katokea CCM na hata alianzia TANU. Kazaliwa mwana 1948 jamani huyu mzee atakuwa na mawazo gani mapya kweli ambayo CCM hawana? To me sioni kitu chochote zaidi naona Dr Slaa anachofanya ni kupayuka na kupasua mabomu kama Mrema alivyofanyaga miaka ilee which wont solve our problems. Matatizo ya wananchi kama maji, kazi, chakula na afya hayapewi kipaumebele kutwa nzima kupiga makelele ufisadi ufisadi and you call that change?

If we really need change into our country and move forward ni kumchagua mtu ambaye hajatokea CCM wala hakuanzia enzi za TANU lakini bila ya hivyo ni kama mnampigia mbuzi gitaa tuu trust me on this...Najua mtabisha sana and here is my Take CCM wana win tena this time na ushauri wa bure Chadema msije mkasema mmeonewa naona mnalewa na madaraka haraka sana.Ila najua kwenye viti vya ubinge mtapata vingi sana hilo wala msiwe na shaka.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI...Jakaya Kikwete oyeee!

I really can't wait for Friday! untill then...........

By Political Analyst
Binti Maringo

1. ''Some have argued we should wait, and that's an option. In my view, it's the riskiest of all options, because the longer we wait, the stronger and bolder Saddam Hussein will become''. GW Bush

2. When quiting is no longer an option, you're half way there.......

What do you say BM?
 
Zimebakia siku 3 tuu hadi uchaguzi mkuu Tanzania...Na nimejaribu kukaa na kusoma post za watu wengi sana humu na naona wengi mnataka change In Tanzania which is good so do i...Lakini nani kasema Dr slaa ataleta any changes wakati Dr Slaa ni CCM..Yaani Majority mnamuona Dr Slaa kama mungu vile. Let me tell you something Dr Slaa katokea CCM na hata alianzia TANU. Kazaliwa mwana 1948 jamani huyu mzee atakuwa na mawazo gani mapya kweli ambayo CCM hawana? To me sioni kitu chochote zaidi naona Dr Slaa anachofanya ni kupayuka na kupasua mabomu kama Mrema alivyofanyaga miaka ilee which wont solve our problems. Matatizo ya wananchi kama maji, kazi, chakula na afya hayapewi kipaumebele kutwa nzima kupiga makelele ufisadi ufisadi and you call that change?

If we really need change into our country and move forward ni kumchagua mtu ambaye hajatokea CCM wala hakuanzia enzi za TANU lakini bila ya hivyo ni kama mnampigia mbuzi gitaa tuu trust me on this...Najua mtabisha sana and here is my Take CCM wana win tena this time na ushauri wa bure Chadema msije mkasema mmeonewa naona mnalewa na madaraka haraka sana.Ila najua kwenye viti vya ubinge mtapata vingi sana hilo wala msiwe na shaka.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI...Jakaya Kikwete oyeee!

I really can't wait for Friday! untill then...........

By Political Analyst
Binti Maringo

katiba mpya yenye kutafuta haki na maendeleo , elimu bure , kufurahia rasirimali zetu , what kind of changes do u want , acha maringo ya kifisadi
 
`hapo ni kumsubiri zito 2015 maana yeye hana historia ya chama kingine zaidi ya CHADAMU

Zitto yupi? Yule ni CCM B, hilo tunajua. Ila hajafukuzwa CHADEMA ili kuwanyima uhondo CCM, kwani walitaka afukuzwe kama Kafulila, ili wapate ya kusema. Huyu hawezi gombea kupitia CHADEMA.
Take that from me.
 
Siyo msipige kura kisa BM kasema this ila ninachosema ni kuwa muwe makini msiwe mnafanya vitu kwa sababu mna jazba tuu na CCM all yo need to do is think wisely!....Angalia na mifano ya nchi za karibu pia....Mfano mzuri Kenya...walidhani kutoa madarakani chama kilichotawala miaka mingi na kuleta chama cha upunzani basi chama cha upunzani kitaleta mafanikio zaidi...Lakini matokeo yake imekuwa vice versa...Kenya is worse than used to be......Nachosema siyo msipige kura kwa mnayemtaka nachosema ni kwamba Dr Slaa hataleta changes yeyote ambayo CCM haijafanya sasan sana Nchi itakuwa worse than mnavyoiona sasa hivi...Dr Slaa ni CCM na ni TANU....that's my take....

Niliongea a while ago about January Makamba watu wakaja juu na kumkashfu Jm na kunitupia maneno makali sana kisa why namfikiriia JM kuwa new generation leader na matokeo yake huyo anakuja taratibu...And this time nitawaambia kuwa choice yenu ya Dr Slaa ni mbovu kabisa...ila all i suggest ni kwamba you all need to work hard for 2015 and choose wisely!...Ila this time bado CCM wataongoza tena.

Kuna kuongoza, na kutawala. Labda watatawala, kwa sababu huwezi ongoza watu walio kukataa. hata wewe unajua hilo ila njaa na ulevi wa kula bila kufanya kazi ndo vinakutesa.
Anayway, miaka mitano JK aliiona mingi. imeisha anashangaa. Hata hiyo mnayotaka kulazimisha itaisha, na hapo atakuwa amefanya vibaya zaidi. Ndipo mtajua kwamba nchi si jeshi, ni umma. Tusubiri.
 
Zimebakia siku 3 tuu hadi uchaguzi mkuu Tanzania...Na nimejaribu kukaa na kusoma post za watu wengi sana humu na naona wengi mnataka change In Tanzania which is good so do i...Lakini nani kasema Dr slaa ataleta any changes wakati Dr Slaa ni CCM..Yaani Majority mnamuona Dr Slaa kama mungu vile. Let me tell you something Dr Slaa katokea CCM na hata alianzia TANU. Kazaliwa mwana 1948 jamani huyu mzee atakuwa na mawazo gani mapya kweli ambayo CCM hawana? To me sioni kitu chochote zaidi naona Dr Slaa anachofanya ni kupayuka na kupasua mabomu kama Mrema alivyofanyaga miaka ilee which wont solve our problems. Matatizo ya wananchi kama maji, kazi, chakula na afya hayapewi kipaumebele kutwa nzima kupiga makelele ufisadi ufisadi and you call that change?

If we really need change into our country and move forward ni kumchagua mtu ambaye hajatokea CCM wala hakuanzia enzi za TANU lakini bila ya hivyo ni kama mnampigia mbuzi gitaa tuu trust me on this...Najua mtabisha sana and here is my Take CCM wana win tena this time na ushauri wa bure Chadema msije mkasema mmeonewa naona mnalewa na madaraka haraka sana.Ila najua kwenye viti vya ubinge mtapata vingi sana hilo wala msiwe na shaka.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI...Jakaya Kikwete oyeee!

I really can't wait for Friday! untill then...........

By Political Analyst
Binti Maringo

Binti Maringo, kwa hili unachemka sana, you have to think critically before presenting your ideas, its better to be dead with living ideas than being alive with dead ideas..... You have to understand we are not bogus enough to swallow ur ideas....We are looking for some one who gonna pull us out of the SISIEM mess, the right person is known to everybody whose ideas are alive.
 
Zimebakia siku 3 tuu hadi uchaguzi mkuu Tanzania...Na nimejaribu kukaa na kusoma post za watu wengi sana humu na naona wengi mnataka change In Tanzania which is good so do i...Lakini nani kasema Dr slaa ataleta any changes wakati Dr Slaa ni CCM..Yaani Majority mnamuona Dr Slaa kama mungu vile. Let me tell you something Dr Slaa katokea CCM na hata alianzia TANU. Kazaliwa mwana 1948 jamani huyu mzee atakuwa na mawazo gani mapya kweli ambayo CCM hawana? To me sioni kitu chochote zaidi naona Dr Slaa anachofanya ni kupayuka na kupasua mabomu kama Mrema alivyofanyaga miaka ilee which wont solve our problems. Matatizo ya wananchi kama maji, kazi, chakula na afya hayapewi kipaumebele kutwa nzima kupiga makelele ufisadi ufisadi and you call that change?

If we really need change into our country and move forward ni kumchagua mtu ambaye hajatokea CCM wala hakuanzia enzi za TANU lakini bila ya hivyo ni kama mnampigia mbuzi gitaa tuu trust me on this...Najua mtabisha sana and here is my Take CCM wana win tena this time na ushauri wa bure Chadema msije mkasema mmeonewa naona mnalewa na madaraka haraka sana.Ila najua kwenye viti vya ubinge mtapata vingi sana hilo wala msiwe na shaka.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI...Jakaya Kikwete oyeee!

I really can't wait for Friday! untill then...........

By Political Analyst
Binti Maringo
Una sema Dr Slaa hafai kwa sababu alikuwa ccm,ni kwamba unaanisha CCM hakifai kutawala.Kwa nini unasema "KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI"?
Ushauri wa bure: Achana na moet.
 
Back
Top Bottom