3 Bomba

Yaani mda woote huo mnajitia hamnazo ! Hamtoi uelekeo anachokilenga mwenye nyumba. Hizo bwn ni Sigara- fegi
 
Labda anamaanisha salama condom 3 bomba. ya kawaida, salama stud na zile zenye manukio ya matunda matunda
 
:juggle::juggle::juggle::juggle::juggle::juggle::juggle:

:juggle::juggle::juggle::juggle::juggle:
Bado naendelea kushangaa
 
Uliwachanganya wenzio. Hta mm kidogo. Kumbe ni kweli ulimaanisha hivi.

Ndio maana ya kuwa Great Thinkers....hahahahahahaa..ila na hofu hao wengine inawezekana wanawapiga......
 
Atakuwa anamaanisha mihimili mitatu ya serikali, au kama siyo hivyo atakuwa anamaanisha rais, makamu wake na waziri mkuu. Kama yote hayo siyo sahihi atakuwa anamaanisha mafisadi matatu sugu.
 
Atakuwa anamaanisha mihimili mitatu ya serikali, au kama siyo hivyo atakuwa anamaanisha rais, makamu wake na waziri mkuu. Kama yote hayo siyo sahihi atakuwa anamaanisha mafisadi matatu sugu.

hapo ndo maana mimi naendelea kushangaa tuu :shock::shock::shock::juggle::juggle::juggle:
 
Kumbe ni hizo
Sasa huyu jamaaa mbona anazunguuuka mpaka watu wanachoka bana

kwani Broda mwanzo ulifikiria nini?
hahahaha ndo maana tukabaki kushangaa na kutoa mimacho kama chura kabanwa na mlango

hapana niliacha watu watafakari..ila wasichukue hatua....hahahahahaha
 
Mipira ya kiume hiyo..
Ilipigiwaga debe la kutosha kipindi cha bunge la standard and speed na Deputy Minister wake;Dr Aisha Kigoda..
 
Back
Top Bottom