2round selection

pcm boy

Member
Aug 6, 2013
39
3
udsm wameshatoa majina ya undergraduate stiudents,, inakuaje kwa sisi tuliaochagua 2round mfano mm nmechagua 1.civil and 2.mining hapo udsm,, nisaidieni wadau
 
hapa nna mzuka balaa, la naogopa wacje wakantupa st.joseph maana nmeweka ya mwsho i mean ya3
 
Jaman huu mwaka wetu ni mwaka wa kuvunja record za ajabu ajabu..ni kwel mwaka huu second round application unapewa nafac had 5 za kuchagua vyuo!
 
Ivi Wakuu Unaweza Uka Apply 2nd Round Afuu Ukatemwaa Tena Ama?

kwa hii ya mwaka huu inawezekana kabisa, mwaka jana ilikuwa ukifanya 2ndround unaambiwa hapo hapo kama umepata au umekosa na ilikuwa huwez kuremove, mwaka huu unaweza kubali af tena mpaka 5, bado huenda wakaweka watakaojaza eng na petroleum zilizoongezwa udsm, na watakosa manake nyingine capacity ni 5
 
ukiwa huna uhakika na jambo usijibu na kupotosha watu ,kutemwa tena au kutotemwa ni siri ya TCU.
 
kwa hii ya mwaka huu inawezekana kabisa, mwaka jana ilikuwa ukifanya 2ndround unaambiwa hapo hapo kama umepata au umekosa na ilikuwa huwez kuremove, mwaka huu unaweza kubali af tena mpaka 5, bado huenda wakaweka watakaojaza eng na petroleum zilizoongezwa udsm, na watakosa manake nyingine capacity ni 5

Unaanzaje kutemwa wakat kwanza unajaza tena coz zaid ya moja au mbili pili capacity ya kila chuo ulichojaza kuna zaid ya nafas labda 50 au zaidi?!
Chamsingi hapo tcu wanahitaj walimu tu
 
Kwel mkuu..Watu tunapresha hapa mwaka mzima mtaan af anasema nn huyo..
Umetemwa tena kaka!! Pole sana.Ila kama unajua una cr3dit yaan division three ya PCB ucjidanganye ukajaza medicine tena.Utatemwa utakosa chuo kabisa na hakuta kuwa na third selection.Na uhakika na nnachokisema.Wenye division three PCB jazeni koz zngne tofauti na za afya.Na uhakika kama kuna mtu ana cut off point y 9 kapata medicine anyooshe kidole,hakunaa.I'm not jocking ila n ukweli tupu.Sasa mjidanganye eti akuna kutemwa utalia utakaa tena mwaka wa pili nyumbani.Kwani PCB wenye point tisa walioomba medicine choices zote tano wamekosa vyuo. Wameomba tena awamu ya pili.Mwenye credit ukijaza medicine unaenda compete tena na hao wa merit.
 
Back
Top Bottom