kabila01
JF-Expert Member
- Apr 21, 2009
- 4,235
- 4,949
Nahuzunika sana na hii statement "First come first served" hii ni kauli ya kibaguzi kabisa. kwa wale ndugu zetu wa liopo vijijin kwa sasa hawana chao hapo hata kama wana sifa za kuingia chuo kikuuu. Hivi ni watanzania wangapi wenye access ya internet ikiwa umeme tu ni tatizo. Kwa sasa ni muda muafaka maana ndo kwanza inajadiliwa wizara ya elimu na suala hili limetokea. Nawaombeni Wabunge muwasaidie wapiga kura wenu hasa wale wa vijijini. kwa kweli msipolisema suala hili hatutaelewana bila kujali ww ni mbunge wa chama gani mie sitawaelewa kabisa