!!!!!!!!!!!!????????????

Change_it

JF-Expert Member
Sep 17, 2010
279
83
531295_10151060370573571_2090806751_n.jpg
inasikitisha sana
 
Raisi wangu yupo,anachonga deal za lak mbili unusu kwa siku huko nje
 
Na mafisadi sasa wanatumia mahakama kulindana na wizi wa mabilioni ambayo yangetumika kuwasaidia hawa watoto!! Mkweree, Mkapa , Mramba , Yona, Mgonja na nyie wezi wengine angalieni mnavyowaua wananchi na watotot wao!! Adhabu yenu mtaipata hapa hapa duniani.
 
hiyo picha imepigwa wapi?
Huyo mtt kalala kwa njaa, shibe, ugonjwa, kifo au?
Tusikimbilie ku coment kitu tusicho kijua, hiyo picha co mara ya kwanza kuwekwa hapa.
 
Maisha bora kwa kila mtanzania ikiwemo watoto. Kwa kasi zaidi, kwa ari zaidi na kwa nguvu zaidi. Hilo ndilo Taifa la kesho!!! Taifa la kesho ni watoto wa vibosile wanaoandaliwa na wazazi wao walio madarakani ili wandelee kuwanyonya wa aina ya hao waliolala kama huu malaika hapa.
 
inaonekana ana siha njema tu tatizo matunzo,ustawi wa jamii lishughulikieni na hili sio kila siku mambo ya women empowerment
 
Back
Top Bottom