Short list secretariat ya ajira na utumishi wa umma

WAPANGWA

Member
Jun 12, 2012
6
0
Jamani mwenye taarifa,juu ya short list kwa walio fanya application za afisa tarafa na WEO :baby:since may up to date.
 
Shortlist imetoka,interview tayari watu wanapiga mzigo vituoni mwao.

Acha kupotosha umma kama huna taarifa za kweli kaa kimya.
ukweli ni kwamba bado watu hawajaitwa vuteni subira, muda wowote kuanzia sasa wenye sifa watakua shortilsted na mtaitwa
 
Mkuu sikukatishi tamaa hila andika ushaumia kwa serikali usikute watu washalamba mishaara miwili na wanaendelea na kazi chunguza mjomba utabaini tu.
 
Mkuu mbona unakata tamaa mapema na serikali yako, hili swala bado linafanyiwa kazi, hakuna aliyeajiriwa vuteni subira wenye sifa mtaitwa
 
Mkuu si unajua ukishang'atwa na nyoka ukiona jani unastuka tu,labda hii ndio iwe mara ya kwanza hawajachakachua!
 
Mbona mapema sana mkuu,kuna nafasi nyingi ambazo walitangaza siku nyingi kama attorney general Chambers na shortlist bado?.
 
Tulieni wala msiwe na papara kwani mvumilivu hula mbivu na kama hipo,hipo tu liliopangwa na mungu mwanadamu hawezi kulipangua watabana mwisho wataachia!
 
Acha kupotosha umma kama huna taarifa za kweli kaa kimya.
ukweli ni kwamba bado watu hawajaitwa vuteni subira, muda wowote kuanzia sasa wenye sifa watakua shortilsted na mtaitwa

Mtasubiri mpaka basi,watu walishaitwa!
 
Tulieni wala msiwe na papara kwani mvumilivu hula mbivu na kama hipo,hipo tu liliopangwa na mungu mwanadamu hawezi kulipangua watabana mwisho wataachia!

unamaanisha mvumilivu hula zilizo MBOVU AU MBIVU? maana...
 
uuuuuuuuuuuwiiiiiiii! mi naamini bado hawajaita kwani kama wameita kinyemela chozi langu litaweza kuilaani tume hii na haitachukua time itavunjwa, ni heri waite wazi nami nisiwepo kuliko kuita secret halafu mi cpo. kitanuka na............ duuh! hebu semeni kweli wameita au tunataniana?
 
Mbona mapema sana mkuu,kuna nafasi nyingi ambazo walitangaza siku nyingi kama attorney general Chambers na shortlist bado?.

Hizo za Attorney General, mi kuna jamaa namfahamu ameshaanza kazi we bado unajipa moyo eti unasubiria shotlisting.
 
Back
Top Bottom