261 waitwa kufanyiwa usahili TPDC (The Tanzania Petroleum Development Corporation)

Hizo nafasi zinazofanyiwa interview sasa,zinakwenda sambamba na vimemo na maelekezo kutoka kwa vigogo na watu wa makabila fulani,wahaya,wachaga,wanyakyusa,angalieni vizuri hayo majina ndugu zangu,kuna majina ya watoto wa watu wazito hapo,Take care

kweli mkuu! kama leo hr yamepita majina ya kinyakyusa na kichaga tuuuu, pamoja personal secretary yale yale! na wanahitaji mtu moja moja tu! tena huenda hata kwenye intrview hayupo....! jana ndo noma juu ya noma
 
.., Nawatakieni vita takatifu kwa ajili ya kulijenga taifa letu. Na ASANTENI kwa ujumla wote walio ni PM kushukuru. Mungu Awe nanyi...
 
Hivi kwanini serikali inaita watu kwenye intervirew kutumia magazeti. Si wana email na namba zao za simu wawatumie. Unaleta mgogoro kwa watu waliopo kazini kwa sasa
 
Back
Top Bottom