morphine
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 3,492
- 1,069
Inaonekana Geologist ndio mpango mzima maana wahitimu wako wachache sana kwa sasa kwenye vyuo vikuu,hata walioomba hapo TPDC ni 6 tu,matatizo yapo kwenye IT ni b alaa hadi upenye na kupata kazi ujue wewe umetokea kazini sehemu ingine!experience
hii fani imekua na wahitimu wengi sana au kwa jina jingine wahitimu kibwena