26/11/2011 Jakaya Mrisho Kikwete ndani ya kambi ya Jeshi Monduli ealy morning!

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,348
3,219
Hbr nilitonywa ndani ya kambi ya (C.T.U) zamani na leo inatambulika ni T M A, Tanzania Miltary Academy inasema Amri Jeshi Mkuu kesho atakuwepo pale kambini na atawatunuku NISHANI maafsa kadha wa jeshi. Huyo ndiyo jk jamani na ajuwe kbs waraka wa wanajeshi 2,858 wametoa warning kwake na wapo humo humo. Jamani wanaJF nikasema niwajuze ndg zanguni mjuwe ndg ye2 atakuwa anatalii hapa A town ila sijui kama atalala pale Ngurudoto km zamani maana naona kama ameipa likizo Arusha yake. NAWASILISHA!!
 
Mkuu nawe, hata mimi nasikia hivyo kuwa kesho JK atashukia Arusha Airpori tayari kabisa kwenda kuwatoa maafisa wanaohitimu mafunzo ya kijeshi kwa ngazi ya luteni ussu.
Hayo mengine chanzo changu kilichopo Arusha cha kuwa atalala wapi bado hakijaweka wazi lakini bila ya shaka hata lala Arusha kama ilivyo kawaida.
Mliopo Arusha heshima kwa mkuu wa nchi jamani.
 
Mkuu hivi hii warning ilikua serious?

Habari ni habari, saizi akaibuka mtu anaelekea kukufahamu akasema HorseShoe chunga nitakuua hata kama unajiamini una kila kitu lakini hutapuuzia.
Hivyo pamoja na kwamba waraka ule ulikuwa wa kizushi lakini haupaswi kupuuzwa.
 
Kamanda wangu! Ngoja tuwasubirie wenye nazo maana hakika wapo humu jamvini na ndiyo maana nimeikubali Jamiiforums Kamanda wangu! Piga kimya kwn watakuja wenye full data!

Apige kimya siyo, hiyo nimeipenda kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi heeeeeeeb!
 
Juzi nilikua kwa kina Chrspy mtaa wa pili hapo nikasikia wajomba wamemtingisha baba fulani...nikasema aah hizi habari za kucopy...sasa naendelea kuunganisha herufi hapa...
 
Mkuu nawe, hata mimi nasikia hivyo kuwa kesho JK atashukia Arusha Airpori tayari kabisa kwenda kuwatoa maafisa wanaohitimu mafunzo ya kijeshi kwa ngazi ya luteni ussu.
Hayo mengine chanzo changu kilichopo Arusha cha kuwa atalala wapi bado hakijaweka wazi lakini bila ya shaka hata lala Arusha kama ilivyo kawaida.
Mliopo Arusha heshima kwa mkuu wa nchi jamani.

Mkuu! Hakuna cha heshima kwa mkuu! Haya maisha aliyotujengea kwa manufaa yake yatosha kbs! Mkuu hatuko naye kbs!
 
Mi naona shughuli hiyo ni ya kawaida sana kwa rais. Hakuna cha ajabu hapo labda kama ataongea na makamanda kwa siri. Ndipo unaweza kuhisi kitu.
 
ndani ya monduli..., atawapa kiapo maafsa wapya, si lazma alale.., kama dar ataondoka kesho asbh kwan lazma alale kule??
 
Mi naona shughuli hiyo ni ya kawaida sana kwa rais. Hakuna cha ajabu hapo labda kama ataongea na makamanda kwa siri. Ndipo unaweza kuhisi kitu.

Ni utaratibu wa kawaida ambao upo na utakuwepo kuwa kila kozi ya mafunzo ya kijeshi kwa ngazi ya uofisa ni lazima watolewe na rais.
 
Hbr nilizozinyaka muda si mrefu ni kwa jk atatua uwanjani hapo Kisongo muda wa saa tatu kamili na mpk oo nusu ila hakuna ule umaarufu wake hata kidogo tena hapa A town. Najiandaa kufika pale uwanja wa ndege Kisongo ila nahisi hatakuwa na md wa kusimama pale kwn ile halaiki ya raia kama enzi yake hakunaga tena.
 
Wakuu naomba post ya waraka wa wanajeshi 2,858 na ile barua ya kwenda kwa JK kumpa siku 100 ajiuzulu. Tupate kuziona. Tafadhali.
 
ndani ya monduli..., atawapa kiapo maafsa wapya, si lazma alale.., kama dar ataondoka kesho asbh kwan lazma alale kule??

Issue siyo kulala. In a political sense mmbunge ndiye anatakiwa ampokee mwenyekiti wake. Je itakuaje wakati kampa mshua ukweli kule Dom? Huoni hawataangaliana usoni!.
 
Back
Top Bottom