25 Nov

Lizzy sorry kwa kuchelewa..and though am late ts from the deepest part of my heart (kutoka matakoni mwa moyo wangu!):
siku yako leo,
siku yako leo,
furahia, shangilia,
siku yako leeeeoooo.....
akilililililili (kigelegele...lol!)

Hahahha asante Mentor....ila matani tuyamalizie kule kule bwana!!
 
Happy belated birthday darling....hii sikuona on the very day...better now than never....

Ulifurahia lakini?kuelekea utu uzima si mchezo ati wanasema ukubwa sumu sijui dawa.

Take care
 
Hahahha asante Mentor....ila matani tuyamalizie kule kule bwana!!

aah Lizzy..matani na ni lugha yetu hiyo jamani!?? nilikuwa naonyesha msisitizo...
samahani kama nimekukwaza!
 
Happy belated birthday darling....hii sikuona on the very day...better now than never....

Ulifurahia lakini?kuelekea utu uzima si mchezo ati wanasema ukubwa sumu sijui dawa.

Take care

Asante mpenzi...nilifurahia mwaya!!
hahahhaha sio sumu bwana.....ila ni dawa...surelyyy!!!
 
aah Lizzy..matani na ni lugha yetu hiyo jamani!?? nilikuwa naonyesha msisitizo...
samahani kama nimekukwaza!

Wala sijakwazika wangu....ni huo msisitizo tu!Yani nimeukubali!!
 
Back
Top Bottom