24 hrs

Mtaongelea series nyingi sana,lakini 24 ni kiboko!Yaani ni mwisho!
 
Orodha hii itakuwa batili kama hatakuwepo SAMIR MEHRAN(gaidi),agent COLE ORTIZ,PABLO(sniper),special agent RENEE WALKER,colonel IKE DUBAKU,general JUMA,DANA WALSH,N.K
 
............GSA one one seven this is the north east air traffic control................go ahead air traffic control......
.............we have a new runway sir for you....such vectors for final,runway four right
..............roger that north east air control
 
THE LOSERS!japo hii sio series na pia ina sayansi nyingi kidogo(mi sipendi sana picha za kufikirika zaidi,labda iwe yote ya kufikirika)il hili ni bonge moja la movie aisee!!24 iko safi sana ila niliona afya yangu inadhurika as nilikuwa nashaukia sana kuona nini kinafuata so nikajiweka pembeni tu kutazama!
 
Mtaongelea series nyingi sana,lakini 24 ni kiboko!Yaani ni mwisho!
Hii series ndio pekee iliyonifanya nimekesha usiku kucha si chini ya mara 3!!!!Kama unapenda muvi/series za kijasusi/kipelelezi kama 24 walahi ukipewa filamu ya akina kanumba unachoma moto papo hapo!utaona ni uwiano wa sakafu na anga!!!!
 
jack bizo anakitu kinaitwa 24 confession... kichek hapo kwenye google
 
Jack Bauer,chloe obrain,michelle dessler,tony almeida,kim bauer, audrey leins,bill buchanan, david palmer,wayne palmer,renee walker, president hassan. NANI MWINGiNE UNAMKUBALI kwny 24???

Nina Myer, she z smart and consistent
 
  • Thanks
Reactions: bht
............GSA one one seven this is the north east air traffic control................go ahead air traffic control......
.............we have a new runway sir for you....such vectors for final,runway four right
..............roger that north east air control

Tony almeida alifanya michezo io michafu ya kutaka kugonganisha ndege kipindi ameasi na kuwa jambazi
 
Nina Myer, she z smart and consistent

Kuna kiipindi Jack alijifanya jambaz akatekwa na Nina Mayerz, na akamwambia nina kwamba hayuko tena CTU... Nina hakumuaamini akamsogezea mdomo aampe Denda huku akimwambia CONVINCE ME. Ilibidi tu Jack ale mate!!!
 
Hii series ndio pekee iliyonifanya nimekesha usiku kucha si chini ya mara 3!!!!Kama unapenda muvi/series za kijasusi/kipelelezi kama 24 walahi ukipewa filamu ya akina kanumba unachoma moto papo hapo!utaona ni uwiano wa sakafu na anga!!!!

umeonaee kaka yaani lazima uzitie moto full kichefuchefu
 
Anachonifurahisha Jack Bauer kama anahitaji taarifa kutoka kwako ataipata kwa namna yoyote ile! Alikuwa anachoma watu hadi bisi bisi ya magot
 
Kuna agent mmoja anaitwa Curtis, huyu alikuwa poa pia na ilimuuma sana Jack Bauer pale ilipobidi amuue
 
jack bizo anakitu kinaitwa 24 confession... kichek hapo kwenye google
Jack B' yuko vizuri sana kuigiza au ku'narrate. Cheki 'the 3 musktrs', 'phone booth', 'mirror 1' au pia dingi ake kwenye 'dirty sexy money' hii familia yao noma
 
samahani wandugu mnaongelea nini!??

24hrs!!

24 is an American television series produced for the Fox Network and syndicated worldwide, starring Kiefer Sutherland as Counter Terrorist Unit (CTU) agent Jack Bauer. Each 24-episode season covers 24 hours in the life of Bauer, using the real time method of narration. Premiering on November 6, 2001, the show spanned 192 episodes over eight seasons, with the series finale broadcast on May 24, 2010. In addition, the television movie 24: Redemption was broadcast between seasons six and seven, while a feature film of the same name is also planned.
Bauer is the only character to have appeared in every episode of the series. The series begins with his working for the Los Angeles-based Counter Terrorist Unit, in which he is a highly-proficient agent with an "ends justify the means" approach, regardless of the perceived morality of some of his actions.[SUP][1][/SUP][SUP][2][/SUP] Throughout the series most of the main plot elements unfold like a political thriller.[SUP][3][/SUP] A typical plot has Bauer racing against the clock as he attempts to thwart multiple terrorist plots, including presidential assassination attempts, nuclear, biological and chemical threats, cyber attacks, as well as conspiracies which deal with government and corporate corruption.
Although critically acclaimed, the series has been criticized for its depictions of torture as effective and its negative depictions of Muslims. Nevertheless, the show had won numerous awards over its eight seasons, including Best Drama Series at the 2003 Golden Globe Awards and Outstanding Drama Series at the 2006 Primetime Emmy Awards. At the conclusion of its eighth and final season, 24 became the longest-running espionage-themed television drama ever, surpassing both Mission: Impossible and The Avengers.[SUP][4][/SUP]
Jack Bauer ni jina la kutaja mhusika mkuu wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama 24. Uhusika unachezwa na Kiefer Sutherland. Jack Bauer, amepata mafunzo makali na kufanya kazi katika viwango tofauti akiwa kama kachero wa serikali, ikiwemo na Jeshi la US - Delta Force, LAPD SWAT, CIA, na mwishoni katika Kitengo cha Kuzuia Ugaidi (CTU) cha Los Angeles.
Ndani ya hadithi ya 24, yeye ndiyo mwanachama pekee wa kitengo kizima cha CTU na mara nyingi hufikirika kwamba yeye ndiye kachero pekee wa CTU waliyenaye. Kawaida kazi za Bauer zinahusiana na masuala ya kusaidia na kupambana na mashambulio ya kigaidi yanayofanyika Marekani, anasaidia wananchi na serikali yake.




Katika matukio mengi, Jack hajioni kama yeye ni babkubwa sana, hivyo wengi humlenga yeye na ndiye pekee mwenye kupendwa. Mwigizaji Kiefer Sutherland amecheza kama Jack Bauer katika mfululizo huu na video gemu, na mwaka 2006 amesaini mkataba mwingine walau aongeze misimu mingine mitatu.Bauer mara nyingi hutumia kutesa sana wakati wa kuhojiana na mharifu, na hii inasemekana ndiyo tabia kubwa ya wahojaji wa CIA



Jack_Bauer
10 Best Jack Bauer Quotes

Filed in Entertainment on Feb.06, 2009

Inspired by the newest season coming out, here is a list of the greatest Jack Bauer quotes from 24:
10. Jack Bauer: "Officer, this guy is not waiting around for me… so you better shoot me or help me but decide now!"
9. Nina Myers: "You're lying"
Jack Bauer: "Yes I am. But you're still going to have to trust me."
8. Jack Bauer: "You're a good liar, but I've seen better."
7. Jack Bauer: "You probably don't think I could force this towel down your throat, but trust me I can. All the way. Except that I'd hold onto this little bit at the end. When your stomach starts to digest the towel, I pull it out. Taking your stomach lining with it. Most people probably take about a week to die. It's very painful."
6. Jack Bauer: "Say it again! Or I'll break your other wrist!"
5. Kevin Carroll: "If you kill me, how are you going to find your family"
Jack Bauer: "Who said anything about killing?"
4. Jack Bauer: "I used to be in the military. Used to do field work for the CIA. I've been to some horrible places. I've seen some pretty terrible things. I don't think I've ever been this scared in my whole life."
3.George Mason: "You have no idea what you're getting yourself into"
Jack Bauer: "Why don't you explain it to me? You've got five seconds."
2.Diana White: "I'm not going anywhere without a lawyer"
Jack Bauer: "You're not under arrest. I'm taking you in to MI-6 where you'll be interrogated by an agent of a foreign government. Your constitutional rights no longer apply. Let's go."
1. Michael Amador: "You betrayed me, Jack"
Jack: "That's right Amador. You betrayed me too, I'm just better at it than you."

24 Parody (Jack Bauer, Kim Bauer, CTU) TV Show Parody Season - YouTube

Jack Bauer Kill Count Seasons 1 thur 8 and Redemption - YouTube
 
Kuna shop moja ya DVD za ukweli pale Jamhuri Street Dar-es-salaam. Bei cheee halafu quality ya juu kama mnazi utapata X-files, 24 na zingine nyingi
mkuu nijulishe hiyo shop iko upande gani hapo jamhuri manake nimemiss sana kuona series zilizoenda shule kama 24
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom