TV unayoangalia!
jamaa alikuwa very smart...kim bauer na tom lenox
Hii thread yako nimeipenda coz ile series nilikua nakubali sana ila in particular apart from those guys you have mentioned kuna jamaa mmoja nimemsahau jina ila alikuja ku-act as a head of CTU from home land security ...Jack alipewa maagizo na Magaid amuuwe, alipo mpeleka sehemu ya tukio mchezi kamwambia Jack "please grant me a favour so that I can take my own dignity" Jack akampa bastola ili ajiuwe, ila akashindwa coz alikuwa akitetemeka sana na akamrudishia Jack, bastola kisha Jack akamuua, sasa kinachonifurahisha kuhusu huyu jamaa nikua alipo fanya acting Head wa CTU alikua na makeke dunia..ila lilipo kuja swala la kufa kumbe nae alikua mwoga tu, kumbe kisho hakina mbabe
Saeed Ally