2020 Mwakalebela usipoteze muda wako Iringa Mjini, Msigwa ni Jabali

Aisee nimeipenda sana hii, ingawa mimi sio wa Iringa lakini nimefurahi jinsi mnavyomfagilia kamanda wenu. Lakini ahadi anatekeleza? Kama anatekeleza basi hakuna haja ya kuweka watu wwngine wakaja kuharibu
 
Nahis atakuwa kwa dada yake ,si unajua wameiolewa yeye na dada yake nyumba moja.....huku sija muona na hawez kaaa kipigo kilikuwa kikali sana
Mitaala ya Kipolisi nayo itakuwa ni jipu tu, inabidi ipitiwe ili itumbuliwe.
Haiwezekana a well trained Police officer aache kazi na kumng'ang'ania shemeji awachukuw yeye na dada yake akaishi nao.
Kama haya niyasomayo humu ya takua na ukweli, basi ni fadhaa sana.
 
Ila huyu bwana ni kubwa jinga eti unaacha kazi yako unaenda kuishi na mume ws dada yako.......
 
jamani chondechonde nawaomba sana , lukosi ana watoto kawaacha Iringa , baadhi wako TANANGOZI na wengine wako KIHESA , tusifunue ukweli wote , ni aibu .
 
Mitaala ya Kipolisi nayo itakuwa ni jipu tu, inabidi ipitiwe ili itumbuliwe.
Haiwezekana a well trained Police officer aache kazi na kumng'ang'ania shemeji awachukuw yeye na dada yake akaishi nao.
Kama haya niyasomayo humu ya takua na ukweli, basi ni fadhaa sana.
imebidi nicheke japo kwa uchungu .
 
Viva Mh.Msigwa naona makamanda bado wanakupigia chapuo sana sasa fanya kazi kubwa zaidi inayozidi akili ndogo......umeleta maendeleo mengi jimboni Iringa mjini, hata Baba Mkwe wangu alikuwa mpiganaji wa maccm mwaka 2010 aligeuka baada ya kuonyesha tofauti y auongozi wako na wa macccm uliopita miaka mingi, mwaka jana amekuunga mkono kwa kura za familia yake yote inaishi mtaa wa Ilala, tena alinambia mwaka huu Msigwa lazima tumpe na halmashauri yote kweli ahadi wametimiza wanaIringa mjini hongereni sana kwa uamuzi sahihi na mengi mema yapo njiani mfano Maji ilikuwa shida leo hii yapo yakumwaga n.k piga kazi kamanda tutazidi kukuombea zaidi na zaidi --peooooooooopleeeeeeeeeeez pooooooooowaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! 2020.
 
Jimbo la iringa mjini , mbeya mjini, moshi mjini, ,arusha mjini, arumeru kwa nasari ccm hata wafanye kampeni uchi hawawezi.na sasa litaongezeka jimbo la Heche,
Kiongozi umesahau na Jimbo la Mapinduzi Makubwa Tanzania haijawai kutokea KARATU. CCM hata waende4 na wajeda mabomu mkononi KARATU hawalambi kitu, maana watu wengi walitegemea mara baada ya Dk.Slaa kulaghaiwa na Josephine CCM wangechukua Jimbo
 
Mungu akulinde sana .
 
Kwelikweli ccm huko wakipita ni sawa na mtu kuingia chumbani kwa mkweo
 
Viva Mh.Msigwa naona makamanda bado wanakupigia chapuo sana sasa fanya kazi kubwa zaidi inayozidi akili ndogo......umeleta maendeleo mengi jimboni Iringa mjini, hata Baba Mkwe wangu alikuwa mpiganaji wa maccm mwaka 2010 aligeuka baada ya kuonyesha tofauti y auongozi wako na wa macccm uliopita miaka mingi, mwaka jana amekuunga mkono kwa kura za familia yake yote inaishi mtaa wa Ilala, tena alinambia mwaka huu Msigwa lazima tumpe na halmashauri yote kweli ahadi wametimiza wanaIringa mjini hongereni sana kwa uamuzi sahihi na mengi mema yapo njiani mfano Maji ilikuwa shida leo hii yapo yakumwaga n.k piga kazi kamanda tutazidi kukuombea zaidi na zaidi --peooooooooopleeeeeeeeeeez pooooooooowaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! 2020.
Peopleeeeeeeeeeeeeeeesssssssssssssssssssss
 
Back
Top Bottom