Eqlypz
JF-Expert Member
- May 24, 2009
- 4,065
- 632
World Cup itachezwa wakati wa majira ya joto kwa hiyo hamna tatizo, tatizo ni mambo ya usalama na masaa tuu.nikweli Qatar walisema wataweka viyoyozi viwanja vyote vitakavyochezewa mechi za world cup 2022 na uwezo huo wanao,matajirisana hawa mkuu ni PETRO DOLA hao,sijui huko rusia itakuwaje au nawao wataweka hiter machine viwanjani mana kuna barid sio mchezo,ni theluji la nguvu,hongera rusia,hongera Qatar.