BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,789
- 288,009
- Thread starter
- #101
Hii inasababishwa sana na negativity ya kutisha kwenye kampeni za Urais na pia ni lazima uweze kukusanya si chini ya $1.5 billion ili kuweza kufanya kampeni ya uhakika. Ukiangalia kwenye primary elections ya GOP, japo mimi siwaungi mkono, lakini kulikuwa na wagombea wazuri kuliko Trump lakini wakapigwa chini kutokana na lugha za Trump dhidi ya wahamiaji ambazo ziliungwa mkono wa wapiga kura katika chaguzi zile.
Kuna mtu mmoja alikuwa analalamika juzi, mpiga kura wa Republican. Akasema yaani kati ya Wamarekani 350M+ ndio tumeishia kupata hawa wagombea wawili ambao hakuna hata mwenye unafuu?.