2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

Kuna watu wa libya walifurahia kuona majeshi ya wazungi yanakuja kmng'oa Ghadafi but mwisho wa siku na wao waling'oka na watoto wao wanaishi maisha ya tabu mpak Leo......Trump akija kumng'oa Maghufuli msifikri nyie mtabaki salama...atasuudha wotee na wake zenu....alafu atachukua Mali na kwenda nazo kula bata na akina Jay Z
 
1478720204433.jpg
 
Trump is politician,I dont believe Politician
Trump amekuwa politician baada ya kurun for presidency; hajawa kushika nafasi yoyote ya kisiasa (kwa ninavyofahamu). Na sidhani kama hata ana sifa za kuitwa mwanasiasa, maana wanasiasa wanafahamika kwa kutokuwa 100 honest katika wanayoyafikiri na kuyaongea. Trump doesn't give a sh*t about what comes out of his mouth! He doesn't the implications of what he spukes out of his mouth. He doesn't care about political correctness. Hizo sifa zote zinamfanya asiwe mwanasiasa. Labda kama kuna kitu tofauti ulikimaanisha.
 
Kuna watu wa libya walifurahia kuona majeshi ya wazungi yanakuja kmng'oa Ghadafi but mwisho wa siku na wao waling'oka na watoto wao wanaishi maisha ya tabu mpak Leo......Trump akija kumng'oa Maghufuli msifikri nyie mtabaki salama...atasuudha wotee na wake zenu....alafu atachukua Mali na kwenda nazo kula bata na akina Jay Z
Kumbe mnaogopa eeh.wacheni sasa kutawala kibabe.
 
Trump amekuwa politician baada ya kurun for presidency; hajawa kushika nafasi yoyote ya kisiasa (kwa ninavyofahamu). Na sidhani kama hata ana sifa za kuitwa mwanasiasa, maana wanasiasa wanafahamika kwa kutokuwa 100 honest katika wanayoyafikiri na kuyaongea. Trump doesn't give a sh*t about what comes out of his mouth! He doesn't the implications of what he spukes out of his mouth. He doesn't care about political correctness. Hizo sifa zote zinamfanya asiwe mwanasiasa. Labda kama kuna kitu tofauti ulikimaanisha.
Kuwa mwanasiasa sio lazima uwe kiongozi ,OK assessment ya yeye kuwa Mwanasiasa inaanza baada ya yeye kuwa Raisi tusubiri utekelezaji wa ahadi zake ndio tutajua tabia halisi za wanasiasa huenda akawa wa kwanza kubadili hiyo theory
 
ukienda usa unakutana na Trump, ukienda Russia unakutana na mnyama puttin, Korea unakutana na KIM.. ukirudi home unakutana na JPM

Nahama sayari

Hahaaa!, mkuu asante kunifurahisha maana leo, sio. :D
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kuwa mwanasiasa sio lazima uwe kiongozi ,OK assessment ya yeye kuwa Mwanasiasa inaanza baada ya yeye kuwa Raisi tusubiri utekelezaji wa ahadi zake ndio tutajua tabia halisi za wanasiasa huenda akawa wa kwanza kubadili hiyo theory
Kule hakuna ahadi zinapigiwa kura sera zinazotofautisha vyama. Republicans wana imani kali ya utaifa wa Marekani kwanza hususan ubepari. Democrats wana sera na misimamo ya ujumla jumla kulingana na upepo ujamaa jamaa fulani.

Wapiga kura wanaongozwa na matendo ya utekelezaji wa hizo sera. Na ujue sera kama ya mambo ya nje ni ile ile kwa wote tofauti ni utekelezaji.
 
Forget mchuano Nevada, Colorado, Pennsylvania,Michigan ,Florida huko Trump kushinda anahitaji miracles,even North Carolina and Ohio itakuwa ngumu sana kwa Trump kushinda, Trump anaelekea kushindwa huu uchaguzi by landslide
Koba niaje? Uko ICU nini?

Thx Bak
NYANI TRUMP

NA WENGINE WOTE KWA KWELI UCHAGUZIUMEKWENDA WAHAKI KABISA MSHINDI KAULIKANA ALL THE BEST
 
Hey sucker...who crying now? Who got the last laugh?

Talkin' shit when you don't know shit.

Hahaaa....who won again?
Hahaha OK .....Trump won ndio democracy hiyo maisha yanaendelea kama kawa ,Trump/Republicans don't give a shit kwa little people like you and you don't fit anywhere in their playbook na wataendelea with same Republican BS of slash taxes for the 1% and spend trillions on war ,ila I feel sorry for Iranians maana they will be next wale Ayatollas watamkumbuka Obama maana soon watanyeshewa za kutosha
 
Trump is yo daddy now.

Ahahaaa....how does that crow taste like?

And how does it feel to be suckered by the mainstream media and their pollsters into believing Hillary was the shoo-in to win?

Lots of people are eating crow today
 
Back
Top Bottom