2016 Ballon d"or..

Kuna game ya kimataifa alipiga goli nne peke yake..!
Wala haijapita siku 30..!
Huikumbuki ni sawa na kwamba haipo kafualia hujui labda
1477383281737.jpg
 
Pole ulikuwa hujaelewa nimanisha kwenye clab ndg simchukii ila pia simpendi
Acha UONGO...
Mechi ya mwisho kufunga katika club ilikua ni tarehe 15 mwezi huu...
Real Madrid alicheza na Real Betis,Madrid alishinda goli 6 kwa 1,Goli la mwisho lilifungwa na Cristiano Ronaldo...

Screenshot_20161025-114416.png
Screenshot_20161025-114353.png
Hizo siku 38 unazosema Ronaldo amekaa bila kufunga goli umezitoa wapi..!?
 
Back
Top Bottom