rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 15,161
- 20,086
nimependa sana post yako ni vizuri tuweke vigezo vya aina ya viongozi tunaowata ili muda ukifika tuwapime kama wamefikia vigezo hivyo siku zote huwa nawaponda watu wanaojadili majina ya watu kwa ajili ya kugombea urais hii tabia ya kujadili watu badala ya vigezo ndiyo inasababisha tukawa tunachagua viongozi wabovu hasa wale wenye uwezo wa kununu vyombo vya habari na watumishi wake