2015; CHADEMA kupita bila kupingwa

mashami

Senior Member
May 8, 2012
183
27
Huwa nawaza kadri siku zinapoenda kukaribia uchaguzi mkuu 2015 hamasa kubwa na elimu ya uraia wanayopata wananchi huku ngome kuu za CCM zikiendelea kupukutishwa kila kukicha!

Vijana tukiwa mstari wa mbele kwenye kutaka mabadiliko...uwezekano wa kukiweka CHADEMA madarakani bila kupingwa utakuwa wazi na kuandika historia mpya katika nchi hii iliyoongozwa na wachumia tumbo kwa nusu karne.

Peoples power mpaka kieleweke!!!
 
Huku kwetu Bukima siku hizi kibwagizo cha CCM oyee ni yahoye. Maana yake imekwisha.
 
SIKU ZOTE KWENYE MSAFARA WA MAMBA KENGE NAO WAMO JAMANI SIWASHANGAI MNAOBEZA NGUVU YA UMMA ILA ANGALIENI....
Hon. LEMA ALIKWISHA SEMA
"SAFINA INAKARIBIA KUFUNGWA FANYENI HARAKA MPONYWE"
 
Huwa nawaza kadri siku zinapoenda kukaribia uchaguzi mkuu 2015 hamasa kubwa na elimu ya uraia wanayopata wananchi huku ngome kuu za CCM zikiendelea kupukutishwa kila kukicha!

Vijana tukiwa mstari wa mbele kwenye kutaka mabadiliko...uwezekano wa kukiweka CHADEMA madarakani bila kupingwa utakuwa wazi na kuandika historia mpya katika nchi hii iliyoongozwa na wachumia tumbo kwa nusu karne.

Peoples power mpaka kieleweke!!!

Kweli binadamu huwa tunajenga maghorofa hewani, endelea kuwaza hivyo milele!!
 
Huwa nawaza kadri siku zinapoenda kukaribia uchaguzi mkuu 2015 hamasa kubwa na elimu ya uraia wanayopata wananchi huku ngome kuu za CCM zikiendelea kupukutishwa kila kukicha!

Vijana tukiwa mstari wa mbele kwenye kutaka mabadiliko...uwezekano wa kukiweka CHADEMA madarakani bila kupingwa utakuwa wazi na kuandika historia mpya katika nchi hii iliyoongozwa na wachumia tumbo kwa nusu karne.

Peoples power mpaka kieleweke!!!
Unafahamu maana ya kupita bila kupingwa wewe?
 
Wao wana dola na sisi tuna Mungu, 2015 ni dhahili CDM itakua madarakani.,M4C forever...
Peopleeeeeeeesssssssss...............
 
Back
Top Bottom