Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

2012 KCSE Results Released

Discussion in 'Kenyan News' started by MaxShimba, Mar 1, 2013.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Mar 1, 2013
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 36,640
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 48
  [​IMG]Moi High School Kabarak teachers broke into song and dance after the KCSE exam results were announced. [Photo / Daily Nation]
  The 2012 Kenya Certificate of Secondary Examination (KCSE) results were released earlier this morning by Education Minister Mutula Kilonzo along with topeducation officials and top officials of Kenya National Examination Council (KNEC) at Mitihani House, Nairobi.

  Tony Edgar of Maseno emerged the top student nationally, followed by Oliver Kiaye of Miranda School, and Victor Bolola of Alliance High School.

  In schools .rankings., Moi High School, Kabarak emerged the top school nationally with a mean score of 78.85, folowed by AllianceHigh School (78.49), Mary Mother of Grace High School (76.72), Strathmore School and Kenya High School in that order.

  Analysing performance by county,the top five counties were Samburu County, West Pokot, Elgeyo Marakwet, Siaya and Embu.

  A total of 436,349 candidates sta the examination in 2012.  See a list of the Top 100 Schools Nationally
   
 2. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #2
  Mar 1, 2013
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 30,120
  Likes Received: 1,603
  Trophy Points: 113
  There seems to be a glitch in the linking somehow. At least the links provided here do not work.

  Much concentration is on the top 100 performers, that is good.

  It would serve the public well to post the worst 100 performers, just so a Gap Analysis can be done to see what is the difference between the two ends of the academic achievement spectrum.
   
 3. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #3
  Mar 2, 2013
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 36
  Matokeo ya mitihani Shule za Waislamu TZ huwa si mazuri lakini kinyume na wenzetu Waislamu wa Kenya hasa akina dada Shule zao kidedea!

  habari ndio hii:

  Coast girl tops in exam

  [​IMG]Ms Tasneem Hashim (centre) of Sheikh Khalifa High School in Mombasa was the best girl in 2012 KCSE exam.

  Photo/G.MAUNDU NATION

  By DAVID ADUDA [email protected]
  Posted Friday, March 1 2013 at 23:06


  Coast Province produced the top female candidate in last year’s Kenya’s Certificate of Secondary Education examinations whose results were released Friday.

  Abdulkarim Tasneem Hasham of Sheikh Khalifa was the top girl nationally, with a performance index of 86.817

  The third position was taken by Borona Victor Koome of Alliance High School, while Abdalla Hamza Yusuf of Sheikh Khalifa was ranked fourth.

  In the fifth position was Elkana Nyang’ari Omare of Maranda High School as Abdulkarim Tasneem Hasham, a female, of Sheikh Khalifa emerged sixth.

  There were only two females among the top 10 and 33 among the top 100— a show of persistent skewed performance in gender terms.

  “We are humbled by the performance and happy that his hard work paid off and he brought glory to the school,” said Mr Otula.

  Other schools in the top 10 were Loreto Limuru (75.266), Moi Girls High School Eldoret (75.156) and Precious Blood Riruta (75.149).

  Increasingly, private schools have started showing performance in KCSE unlike in the past, when their strength was displayed largely at Kenya Certificate of Primary Education.

  Mwisho:
  Tunaiomba Serikali iunde tume kuchunguza ni kwa nini Shule za kiislam hushika mkia wakati wenzao wa kenya hufanya vizuri! hii itasaidia kujua tatizo ni nini na kupata dawa ili silu zijazo wafanye vizuri ili kuepuka kuwa na taifa la mazuzu miaka ijayo!


   
 4. n

  nemasisi JF-Expert Member

  #4
  Mar 2, 2013
  Joined: Oct 4, 2012
  Messages: 1,781
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 38
  Huu ujinga wa dini kila wakati sijui unatoka wapi! Lakini hata hivyo sio shule zote za kiislam zimefanya vizuri isipokuwa hiyo ya sheikh khalifa sawa tu na shule za Feza hapa tanzania pia zina matokeo mazuri.

  Watoto wa kiislam na kikristo hawana tofauti vichwani isipokuwa kwa tanzania shule nyingi zinazomilikiwa na taasisi za kiislam hazina mazingira mazuri ya kuwaandaa wanafunzi kufaulu masomo yao.
   
 5. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #5
  Mar 2, 2013
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 36
  Hivi kwanini Uislamu ukitajwa mnauita upuuzi na ujinga! lakini Ukristo aaa ni ufunuo na utakatifu! unafiki mpaka lini?
   
 6. H

  Hydrobenga JF-Expert Member

  #6
  Mar 2, 2013
  Joined: Jun 24, 2012
  Messages: 1,132
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 38
  Usihangaike Kutafuta Jibu....

  Hawatakuwa Radhi nawe mayahudi na Manasara Mpaka utakapofata Mila Zao....
  Wewe anza Kula nao kitimoto uone watakavyokusifia ..
   
 7. Eddy Love

  Eddy Love JF-Expert Member

  #7
  Mar 2, 2013
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 3,912
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 63
  Hii habari itakuwepo kwenye magazeti yao kesho
   
 8. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #8
  Mar 2, 2013
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,088
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 63
  Hata Tanzania shule za feza nadhan zinamilikiwa na waislamu. Upo udhaifu mkubwa kwenye necta, na mapendekezo ya mtoa mada ndiyo kama hayo aliyotaka kuyawasilisha kwa kirefu Nasari kule bungeni... Tunajua CCM ilifanyaje..
   
 9. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #9
  Mar 2, 2013
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 6,039
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 83
  Shule za Feza ni za wagiriki. Tatizo hapa ni kwa nini watz wanakuwa wepesi kukimbilia kwenye dini hata kwa mambo ya nchi jirani?
   
 10. Sisimizi Shujaa

  Sisimizi Shujaa JF-Expert Member

  #10
  Mar 2, 2013
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 600
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  Cjui lini patakuja andikwa shule za wakristo zaongoza
   
 11. Gwalihenzi

  Gwalihenzi JF-Expert Member

  #11
  Mar 2, 2013
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 5,057
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 38
  Wachunguze kitu kilicho wazi ili iwe nini?
   
 12. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #12
  Mar 2, 2013
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,047
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 83
  ndugu yangu, tatizo kwenye kufeli kwa wanafunzi wa kiislamu ni walimu, focus zao na miongozo yao

  iwapo hata shekhe ilunga ni shujaa kwa waislamu wa tanzania, na redio Imaam ndio clouds yao unategemea nini

  ushauri wangu kwako, wala usiiangalie serikali, angalia mfumo mzima wa madrasa unajenga nini tapa tanzania??

  binafsi naamini unajenga upande mmoja tu, madrasa ambao nao haufanyi vizuri

  waislamu tanzania wanastahili kujifunza malaysia, turkey, pakistan na nchi nyingine za kiislamu ambazo zimekua kisayansi na teknolojia baada ya kuacha kujiweka inferior na kusisitizia vijana wao kusoma sayansi ya leo

  ninao marafiki tulisoma nao primary na sekondari, they were the best in class, wazazi wakakomalia madrasa, wale vijana by the time wanafika form four, wameshapata na wachumba na watoto

  we ended up losing them

  sasa hivi wana counter za machungwa maeneo ya mwananyamala na mtogole

  we have to change kama tunataka taifa imara
   
 13. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #13
  Mar 2, 2013
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,724
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Naona watu mmekuwa wepesi wa kupanic sijui kwa nini, badala ya kujibu hoja watu mnaanza kuwa sensitive na mambo mengine kabisa.
   
 14. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #14
  Mar 2, 2013
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,724
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hii ndo michango yenye kueleweka. NImeenda Indonesia five years ago, nilichokutana nacho ni jamii iliyostaarabika vizuri sana. Lakini kabla sijaenda nilijua ni nchi yenye vurugu za kidini na mambo ya kujilipua lipua, but the stuation was quiet different, sawa inchi ile ni ya kiislamu kwa hiyo mambo mengi inabidi ufuate taratibu zake. Ilikuwa saaafi kabisa, watu wanapiga kazi, wameendelea na hawana makuu na wageni wa pande zote.
   
 15. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #15
  Mar 2, 2013
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 8,575
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 83
  shule za FEZA(Tanzania Turkish School) zinamilikiwa na ISHIK medical and education foundation ni Waturuki.
   
 16. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #16
  Mar 2, 2013
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,047
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 83
  Thanks mkuu

  Indonesia na Bangladesh ni nchi zenye zaidi ya silimia 95 ya waislamu kwenye polupation yao... lakini wanaelewa nini sayansi na technology, wanajua nini maana ya kuwekeza kwenye technology

  wapo wachache wenye itikadi kali, lakini hawana nguvu ya kuharibu nchi, the same kwa bangladesh, pakistan (kumbuka musharaf alitumia muda mwingi kuhubiri sayansi na teknoloji)
   
 17. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #17
  Mar 2, 2013
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,900
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  waislamu wanaishi vizuri sana kweny nchi ambazo idadi yao ni ndogo lakini kwenye nchi ambazi ni wengi au hata nusu ni matatizo matupu.
  mfano kenya,uganda,marekani,ufaransa na af kusini ila kwa nchi ambazo ni nusu kama tz na ambazo ni wengi kama somalia nk ni matatizo.
  tuanzie hapo kujadili.
   
 18. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #18
  Mar 2, 2013
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 40,476
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 113
  Nguruvi3,

  Kuna siku ulisema matatizo ya Mombasa kama ya Kilwa mimi nikakupinga.
   
 19. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #19
  Mar 2, 2013
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 40,476
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 113
  Fungua uzi tuje kujadili huu uzi unaelezea shule za Kiislam zaongoza Kenya.
   
 20. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #20
  Mar 2, 2013
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 8,575
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 83
  Acha propaganda, zaidi ya aslimia 90 ya waturiki ni Waislamu. Uturuki imepiga hatua kubwa ya kimaendeleo na member wa EU na NATO. Naomba uwe objective he issue ya dini. Usiwe mtu wa kuropoka tu.
   

Share This Page