Mkuu hebu tuwahamasishe na sisi kupenda haya mambo yetu ya wakongoleseki ukweli siwezi kujizuia hisia zangu kwa baadhi ya hits za kikongolese hasa za wqkongwe akina bozi,koffi,tabu,ferrre.werrason,nyboma,peppe,mbilia and Pappa Wemba,back home ni nyimbo za msimu ukiacha bendi kama FM,msondo,sikinde na twanga nawafeel
Vifuu tundu - AT
Kijoka anazima taa - Mwanahawa Chipolopolo
nikizikumbuka nitaandika,
kwa sasa sikumbuki hata wimbo mmoja.
|
|