Kwani ndugu we unaishi wapi? Maana hizo ziko barabarani zaidi ya mwaka sasa.
mkuu sijajuwa kama panamera 4 ina zaidi ya mwaka labda sikubahatika kuziona ... anyways nilikuwa natamani niione kwa macho yangu! na nijue bei zetu za mkono pili kwa ndugu zetu wajepu ni kiasi gani
http://en.wikipedia.org/wiki/Porsche_Panamera#cite_note-2010_Porsche_Panamera:_20_New_Photos-7</sup>The Porsche Panamera production model was unveiled at the 13th Auto Shanghai International Automobile Show in Shanghai, China, on April 2009.<sup id="cite_ref-2010_Porsche_Panamera:_20_New_Photos_7-0" class="reference">http://en.wikipedia.org/wiki/Porsche_Panamera#cite_note-2010_Porsche_Panamera:_20_New_Photos-7
Zilitoka kitambo kidogo Cheki kipande toka Wiki
[/URL]</sup>
baada ya kuiona kwenye matangazo muda mrefu hatimaye katika pitapita zangu leo nikakutana ni hii kitu Porsche Panamera 4 ... hivi mkono wa pili 2nd hand zinapatikani kwa kiasi gani..?
View attachment 27689
Habari ya jioni preta!:hat:
Habari ya jioni pretty!:hat:
baada ya kuiona kwenye matangazo muda mrefu hatimaye katika pitapita zangu leo nikakutana ni hii kitu Porsche Panamera 4 ... hivi mkono wa pili 2nd hand zinapatikani kwa kiasi gani..?
View attachment 27689
HII BWANA......ENZI ZILE JUMAPILI MAGARI MWISHO SAA NANE
habari nzuri....habari yako wewe binafsi.....
shauri yako kupapasa papasa utashangaa mkono umedumbukia kusiko, preta mwambie huyu