2011 Mwaka wa kurudisha IMANI

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,720
155,326
Umekua huaminiki kwa muda mrefu, unadaiwa madeni hulipi, unatoka nje ya ndoa, unatembea na wake/ waume wa watu, unatapeli. Umejitenga na uso wa Mungu, huna hofu ya Mungu hata kidogo, huabudu tena na wala hufanyi ibada. Badilika, ufanye mwaka mpya uwe wa mabadiliko kwako. . Mabadiliko ya dhati yanaanzia ndani ya moyo wako, kisha watu baki wataona kwa nje kupitia matendo yako.
Nakutakia Heri na fanaka kwenye sherehe hizi za Noeli na Mwaka Mpya
 
Dogo kumbe kuna siku zako ehh.
Leo umeongea kitu cha maana sana.
Nimekubonda na li senx la uhakika hapo pembeni.
 
ansante,,,, ila na we pia ufanyie kazi ujumbe,,,, may allah bless you kwani umetukumbusha kubadilika,,,
 
Umekua huaminiki kwa muda mrefu, unadaiwa madeni hulipi, unatoka nje ya ndoa, unatembea na wake/ waume wa watu, unatapeli. Umejitenga na uso wa Mungu, huna hofu ya Mungu hata kidogo, huabudu tena na wala hufanyi ibada. Badilika, ufanye mwaka mpya uwe wa mabadiliko kwako. . Mabadiliko ya dhati yanaanzia ndani ya moyo wako, kisha watu baki wataona kwa nje kupitia matendo yako.
Nakutakia Heri na fanaka kwenye sherehe hizi za Noeli na Mwaka Mpya
Kamaradi Bujibuji kama vile tulikuwa tunawaza pamoja mkuu, asante sana
 
Afadhali kama vile anavyotuelezaga ziwe ni stori tu za kuchangamsha jamvi, ila kama ni kweli kijana una hatari.
Ujumbe wako ni mzuri, kila mtu kwa nafasi yake aufanyie kazi.
Much love pal
asante na wewe uache vile vituko vyako bujibuji
 
Vitu vingine vinatamkika vizuri sana mdomoni.
Hivi unaweza kweli kumwambia teamo aache kupiva valuu zake kweli? Au aache kupiga infidelity?
Asante mtata buji, nawatakia wana jamvi wote sikukuu njema
 
Back
Top Bottom