2011 iweje kwenye hili jukwaa la teknolojia . Turekebishane

Zing

JF-Expert Member
Jun 24, 2009
1,767
470
Post/comment tatu bora kwa kwenye ili jukwaa ni zipi
Una ushauri kwa member yeyote kuhusu michango yake kwenye jukwaa hili.

  1. Mzizimkavu: punguza copy and paste.
  2. kilongwe: Hongera kwa kazi nzuri . Unapokoselewa kubali
  3. Shy: unaleta mada ambazo hajijadi. Masuala ya IT security USA unachukulia ndivyo ilivyo Tanzania. Nasoma mada zako lakini sioni kama una detail basic knowledge iwe ni ya Hardware, OS, Network, Database. wewe ni security secuty tu. Punguza copy and paste pia.
  4. Goodguy: kama si maigizo you Are very genius na intelligent kwenye science. Unaonekana unapenda sana mathematics.Kuwa mwangalifu kuna vi genius labda vipo vinakuchora maigizo yako
  5. Mtazamaji: Sijui niseme unajifnya mjuaji au kweli wewe unayajua mambo unayokuwa unapinga au kukubali
  6. Abdulahim punguza jazba na mamneo makali kwa watu wasiokubaliana na wewe kwenye hoja. Hapa ni Teknolojia sio siasa.
Kazi kwenu msitoane macho tu . Endeleeni......................

heri ya mwaka mpya
 
mh me napita tu kuchambua cjui but napenda michango ya wote humu wakosoaji na wasifiaji ila nawapenda wakosoaji zaidi kwani wananifanya niwemakini zaidi nakuongeza spidi
 
Post/comment tatu bora kwa kwenye ili jukwaa ni zipi
Una ushauri kwa member yeyote kuhusu michango yake kwenye jukwaa hili.

  1. Mzizimkavu: punguza copy and paste.
  2. kilongwe: Hongera kwa kazi nzuri . Unapokoselewa kubali
  3. Shy: unaleta mada ambazo hajijadi. Masuala ya IT security USA unachukulia ndivyo ilivyo Tanzania. Nasoma mada zako lakini sioni kama una detail basic knowledge iwe ni ya Hardware, OS, Network, Database. wewe ni security secuty tu. Punguza copy and paste pia.
  4. Goodguy: kama si maigizo you Are very genius na intelligent kwenye science. Unaonekana unapenda sana mathematics.Kuwa mwangalifu kuna vi genius labda vipo vinakuchora maigizo yako
  5. Mtazamaji: Sijui niseme unajifnya mjuaji au kweli wewe unayajua mambo unayokuwa unapinga au kukubali
  6. Abdulahim punguza jazba na mamneo makali kwa watu wasiokubaliana na wewe kwenye hoja. Hapa ni Teknolojia sio siasa.

Kazi kwenu msitoane macho tu . Endeleeni......................

heri ya mwaka mpya

Nimejaribu kusearch kama wewe ni mchangiaji wa hili jukwaa sijaona kitu. .......... Sasa nshindwa hata kukupa ushauri. Anyway Usiwe mwoga

Topical said:
Rev Masamilo apunguze jazba na atumie maneno yenye staha
Hapa nadhani jamaaa anamanisha fan wa subforumm ya teknolojia wewe na rev masanilo kamalizaneni huko huko kwenye Si hasa
 
Rev Masamilo apunguze jazba na atumie maneno yenye staha

Tafadhari usituchafurie sub-forum yetu ya teknolojia na sayansi. Kama huna cha kuchangia kaa kimya, si vibaya kuwa mtazamaji. Kama ukimtaka masanilo mfuate kuleeeeeeeee!!!, kwenye ile sub-forum yao.
 
Back
Top Bottom