2011 Full Tank?

Siku zote mwendawazimu akikuibia nguo zako wakati wewe unaoga mtoni ni busara kumuacha tu aende nazo na wewe kutafuta ustaarabu mwingine,lakini ukikasirika na kuanza kumtoa mbio wapita njia kama kina Paka Mweusi hawataelewa mwendawazimu ni nani kati ya wewe unayemkimbiza na huyo anaye kimbizwa,maana mkimbizaji utakuwa uchi wakati labda mwendawazimu atakuwa na matambara yake.Sasa hapo Paka Mweusi atajiuliza hawa wawili mwendawazimu ni yupi?
 
mkuu sasa hapo ukimuacha na uende zako uchi si watu ndo wanakomfirm kabisa wewe ndo mwendawazimu? Bora waone unamtoa baruti chizi then wanaweza jiuliza mara mbili mbili, he mbona chizi ana nguo mkononi na mwingine anamtoa baruti huenda ni mwizi sio chizi.....hehehe wabeja nkoi
 
haha, pole anko. itabidi siku moja tumuombe magulumangu kwa heshima na taadhima atoe darasa hapa la kanuni za kuchambua tafsida

haha, proud to be swahili speaker

Wanena weye Judith mie niko full available bibie, kwako hata shule ya tafsida naanzisha.
 
Lugha ya picha inapotumika vibaya na ikawa imejaa udhahania huleta mchanganyo ama kutokueleweka kwa ujumbe lengwa.
Kumbuka unapotoa ujumbe kama huu na wengi wakashindwa kuuelewa basi umefeli katika kufikisha ujumbe wako!
 
kasome kiswahili ndugu tena, hakuna ambae hajaelewa ni wewe tu mtu wangu.....Usimsemee mtu baba hii 2011
 
mkuu sasa hapo ukimuacha na uende zako uchi si watu ndo wanakomfirm kabisa wewe ndo mwendawazimu? Bora waone unamtoa baruti chizi then wanaweza jiuliza mara mbili mbili, he mbona chizi ana nguo mkononi na mwingine anamtoa baruti huenda ni mwizi sio chizi.....hehehe wabeja nkoi

Utu uzima Dawa ndugu yangu,unamuacha tu aende kisha wewe unatumia utu uzima wako kwa kuagiza vijana wakuletee japo msuli uweze rudi nyumbani lakini usimwage radhi maana katika njia hiyohiyo aliyokuona Paka Mweusi yawezekana kuna watoto na wakweo wanapita sasa wakikuona sijui heshima itabaki katika kiwango kipi?Tukajaga shene guku,Bhalekage do abhenabho.
 
Niyo namhala nagwigwaga lulu shi, hii kweli 2011 mkuu nimekupata maana kweli wakiona wajukuu ile mambo inakuwa huku...
 
Nina mpango wa kuacha kusoma post za Magulumangu, ni tata na ngumu kueleweka, hata wanaojifanya wameelewa nina wasiwasi kama ni kweli. Pamoja na uzuri wa tafsida lakini kama habari haieleweki kwa walengwa inakuwa kazi bure, please Mkuu punguza kidogo advanced tafsida ili tuburudike members wote.
 
Mkuu Chapa nalo siko kupoteza wasomaji wetu jamani, tunaburudika tu na KISWAHILI chetu mbona kitamu jamani? Najivunia sana kuwa muswahili jamani...
 
Lugha ya picha inapotumika vibaya na ikawa imejaa udhahania huleta mchanganyo ama kutokueleweka kwa ujumbe lengwa.
Kumbuka unapotoa ujumbe kama huu na wengi wakashindwa kuuelewa basi umefeli katika kufikisha ujumbe wako!

Ningongee hata ka thanks bas mkuu duh?
 
Back
Top Bottom