2010 utakumbukwa katika Historia ya Tanzania

The Dreamer

JF-Expert Member
Feb 2, 2009
1,282
20
Wapendwa wapenda mageuzi na ustawi wa jamii inayoishi maisha bora na ya haki, mafisadi na mashabiki wao, mabibi na mabwana nakupongezeni sana kwa kufika mwisho wa mwaka mpya na nakutakieni mafanikio.

Mwaka 2010 utakumbukwa kwa uchaguzi wa msisimuko ulifuatiwa na wizi mkubwa wa kura. Utakumbukwa kama mwaka wananchi walisema hapana kwa watawala lakini watawala wakahamua kuwala tu! Haukuwa mwaka mzuri kwa mafisadi hata kama wanajiandaa kulipwa mabilioni ya pesa kupitia mradi wao wa Dowans!

Ni mwaka ambao kwa mara ya kwanza CCM imejua siku moja itangoka tu. Hawawezi kuishi kwa oxygen ya Usalama wa Taifa (Usalama wa CCM) daima! Hongereni nyote na tukutane jamvini mwakani kumshughulikia mmiliki wa Dowans...ni kiporo
 
Ni mwaka ambao mafisadi wa Tanzania hawatausahau,kwani umma wa wana wa nchi uliwatolea nje chama cha mafisadi licha ya kutumia mabilioni mengi kuhonga ili wachaguliwe, ni mwaka ambao yalifanyika MAPINDUZI YA KIJESHI kwa vyombo vya ulinzi na usalama yaani JWTZ,POLISI,TISS vilipindua maamuzi sahihi ya wananchi kuweka viongozi wenye utashi wa kuikomboa nchi na badala yake kuweka viongozi MAFISADI.
 
GrEatThinkers,

2010 is the memorable year to all believers and non believers,

At first It was a Calm year as if there was nothing to happen in October.

Rocky city and Shinyanga was still believed to be SleepingGiants-"People who Dont Believe in Their Power"

It was Until Dr. W Slaa with his Chopa ground In, Light the flame of newhope within the domant hearts.

Because there were forced by Corruption Continuation Movement(CCM)to be headed by Marsh,that was harsh

Election was real a Storm, We saw Hurricane from Nyamagana hitting Ilemela constituency,fetching the wards

It was very Clear that even Geita,Shy Town, Busanda,kahama mentioning the least were taken by CDM.

In Dar we all heard at Segerea Constituency, There were some ballotseen with arleady voted papers

But anyway: That is a negative impression to his False Power he posses.

I was very happy, when i saw the CDM Pariamentalians leaving the House in Dodoma.It was Kool.

It was a Shock to the foreign minister'the One you call sometimes a President' he was trembling all the way

That action Derivered a new message to every heart i beat n Tanzania, That is National Constitution Changes.

:ranger:Anyway: These are some of the remarkable events i can write.:ranger:
 
Ni mwaka ambao mafisadi wa Tanzania hawatausahau,kwani umma wa wana wa nchi uliwatolea nje chama cha mafisadi licha ya kutumia mabilioni mengi kuhonga ili wachaguliwe, ni mwaka ambao yalifanyika MAPINDUZI YA KIJESHI kwa vyombo vya ulinzi na usalama yaani JWTZ,POLISI,TISS vilipindua maamuzi sahihi ya wananchi kuweka viongozi wenye utashi wa kuikomboa nchi na badala yake kuweka viongozi MAFISADI.

Without evidence you have no right to speak!

Utakumbukwa kwa mambo mengi, uchaguzi uliofanyika kwa mbwembwe nyingi

At last it was JK vs. Church netwoks

And wananch say NO to church networks

Excellent to Peace Lovers.
 
Ni mwaka ambao mafisadi wa Tanzania hawatausahau,kwani umma wa wana wa nchi uliwatolea nje chama cha mafisadi licha ya kutumia mabilioni mengi kuhonga ili wachaguliwe, ni mwaka ambao yalifanyika MAPINDUZI YA KIJESHI kwa vyombo vya ulinzi na usalama yaani JWTZ,POLISI,TISS vilipindua maamuzi sahihi ya wananchi kuweka viongozi wenye utashi wa kuikomboa nchi na badala yake kuweka viongozi MAFISADI.
KINYESI! wewe umekunywa mipombe yako halafu unatuandikia pumba humu.
 
Back
Top Bottom