Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,882
- 10,193
Mzee usilete pumba na porojo! Ngasa anatoka wapi hapa???? aaaaaaaaagggggrrrrrrrrr
nahisi hat ata Drogba angekuwa Muingereza angepigwa chini
Mzee usilete pumba na porojo! Ngasa anatoka wapi hapa???? aaaaaaaaagggggrrrrrrrrr
nahisi hat ata Drogba angekuwa Muingereza angepigwa chini
...Nawatabiria Brazil kuwika tena world Cup hii japo Spain wanatisha!
"there is nothing new wth england said:our time is now[/[/B]QUOTE]
Ni muda wa kuandaa mashindano na si kuchukua ubingwa...Hatuna timu inayoweza kuchukua ubingwa...labda kufika Robo Fainali
Hawa wanaenda kufanya nini? They are crap
- Emile Heskey
- Jamie Carragher
- Rio Ferdinand
- Michael Carrick
- Joe Cole
- Shaun Wright-Phillips
Wako wapi akina Ashley Young, Bobby Zamora Gabriel Agbonlahor, Carton Cole?
Simwoni Alex wa Chelsea hawa jamaa nao wanautani, Julio Baptista anaenda kufanya nini is another floppy!
Owen Hargreaves, Gary Neville, Bobby Zamora and Carlton Cole left out
Owen Hargreaves, Gary Neville, Bobby Zamora and Carlton Cole left out
Owen Hargreaves Ni Mlemavu wa Magoti abaki treatment room OT, Gary Neville ni veteran wa the second world war II yaani ni mzeeeeeee
Dunga kashamaliza kati ameita wachezaji 23 tayari wa kwenda South tofauti na makocha wengine wameita wachezaji 30 kwa ajili ya maandalizi Ronaldinho,Diego,Pato,Adriano wote nje
Hahahahaha ,umesikia Capelo alimuita Paul Scholes ila jamaa akagoma.Alex pamoja na kitambi chake ni beki wa ukweli sijui kwa nini kaachwa .Hii kazi ya ukocha ngumu sana ,ngoja tumsubiri Maradona nae usishangae kusikia Tevez anaachwa
Dunga kachemsha mbaya mi naona.............kwa nini kawaacha Dinho,Diego,Pato na Adriano nakuwachukua hao akina Kleberson,Gilberto Silva n.k......Huyo Luis Fabiano mwenyewe mgonjwa....................Spain Bingwa
Can some one explain to me hawa wanaenda kufanya nini kwenye hiyo 30 provisional squad?
- Emile Heskey
- Jamie Carragher
- Rio Ferdinand
- Michael Carrick
- Joe Cole
- Shaun Wright-Phillips