Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,476
- 4,752
Wadau...zikiwa zimebaki siku takribani 32 kuanza kwa Kombe la Dunia mwaka huu wa 2010 kule 'Bondeni' si vibaya tukaanza kujadili kwa kina kuhusiana na teuzi za timu pamoja na maandalizi ya timu za mataifa mbalilmbali washiriki katika mashindano hayo....
Baada ya kumalizika kwa ligi kubwa na tamu duniani,EPL....Ni vema basi tukaanza kujadili timu na maandalizi(kwa ujumla wake) ya Kombe la Dunia mwaka 2010 nchini Afrika ya Kusini...Kwa kuanzia tu Algeria wao tayari wametangaza provisional squad kwa ajili ya world cup 2010,kocha wao Rabah Saadane kawataja wachezaji hawa:
Fawzi Chouachi (ES Setif), Lounes Gaouaoui (ASO Chlef), Mohamed Lamine Zemmamouche (MC Alger), M'bohi Rais Ouheb (Slavia Sofia); Abdelkader Laifaoui (ES Setif), Madjid Bougherra (Rangers), Carl Medjani (Ajaccio), Rafi Halliche (Nacional), Anther Yahia (Bochum), Haib Belaid (Boulogne), Nadir Belhadj (Portsmouth), Djamel Mesbah (Lecce); Hassan Yebda (Portsmouth), Mehdi Lacen (Racing Santander), Yazid Mansouri (Lorient), Adlene Guedioura (Charleroi), Riad Boudebouz (Sochaux), Djamel Abdoun (Nantes), Fouad Kadir (Valenciennes), Mourad Meghni (Lazio), Karim Ziani (Wolfsburg), Karim Matmour (Borussia Monchengladbach); Abdelkader Ghezzal (Siena), Rafik Djebbour (AEK Athens), Rafik Saifi (Istres).
Karibuni barazani wadau