200billion kukodi madaktri ni sahihi

Hakika nyani haoni kundule. Hivi unadhani mpango huo utafaa? Haya tuone!

Sent from my GT-I9100 using Tapatalk 2
 
This can happen only in Tanzania
[h=6]"THINK;
A country where there is no even a single working CT Scan Machine...Is it true we cannot afford it, and we loose around 6% of Head Injury patients and discharge 99% of the same patients without a proper management.
Relate this with a Tz Minister driving a 280million V8 Prince (Equalling to approx 1 Phillips CT Scan Machines + Transport)

Siemens ------------------200000 usd approx
Toshiba -------------------180000 usd approx
Beckam coulter------------250000 usd approx
Sharp------------------------200000 usd approx
GE----------------------------300000 usd approx
phillips ----------------------140000 usd approx

The computer tomography machine (CT-Scan Machine) costs depending upon the technology systems"
[/h]

CT-Scan doesnt work since Nov 2011
 
waziri anamiliki nyumba ya usd 700000,hapo tungepata Ct scan tatu za philips na chenji inabaki.
 
Katika gazeti la Tanzania Daima la leo kuna habari hiyo.
Hapa napata maswali mengi kiliko majibu.
1.kwa nini kiasi hicho kisitumike kutekeleza madai ya madaktari na kutanzua mgogoro huo?
2.Fedha hizi kwa nini zisitumike kuboresha hospital kwa kununua vifaa vya hospital?
3.Kwa nini kwa Serikali hii kukija swala la kukodi kitu fedha hupatikana mara moja?
Na maswali mengine mengi,hebu tuisaidie serikali katika kufanya mipango yake.Tujadili
Tukikamisha utaratibu wa kumpeleka kamanda ulimboka nje ya nchi muhi2 itabakia magofu,kwa aliyefika jana muhi2 uwe shaidi
 
Serikali hii ni ya KIHUNI Sio dhaifu ...

Katika gazeti la Tanzania Daima la leo kuna habari hiyo.
Hapa napata maswali mengi kiliko majibu.
1.kwa nini kiasi hicho kisitumike kutekeleza madai ya madaktari na kutanzua mgogoro huo?
2.Fedha hizi kwa nini zisitumike kuboresha hospital kwa kununua vifaa vya hospital?
3.Kwa nini kwa Serikali hii kukija swala la kukodi kitu fedha hupatikana mara moja?
Na maswali mengine mengi,hebu tuisaidie serikali katika kufanya mipango yake.Tujadili
 
Watanzana acheni uzushi.....sasa kama madaktari wamegoma na hawataki kuendelea na mazungumzo serikali mnataka ifanye nini??? watu wanakufa,hakuna huduma,na sheria inasema watoa huduma hawatakiwi wagome mnataka serikali ifanye nini???

Kama wametenga hz naomba waongeze fedha zingine waje madaktari toka nje ya nchi wafanye kazi walipwe mpaka hapo madaktari watanzania watakapoacha mgomo usiokuwa na mwelekeo wala tija...big up serikali okoeni watanzania wasiokuwa na hatia
 
This can happen only in Tanzania
"THINK;
A country where there is no even a single working CT Scan Machine...Is it true we cannot afford it, and we loose around 6% of Head Injury patients and discharge 99% of the same patients without a proper management.
Relate this with a Tz Minister driving a 280million V8 Prince (Equalling to approx 1 Phillips CT Scan Machines + Transport)

Siemens ------------------200000 usd approx
Toshiba -------------------180000 usd approx
Beckam coulter------------250000 usd approx
Sharp------------------------200000 usd approx
GE----------------------------300000 usd approx
phillips ----------------------140000 usd approx

The computer tomography machine (CT-Scan Machine) costs depending upon the technology systems"

Mkuu CT scan mbona kubwa jana ITV wameripoti hospitali ya mkoa wa Tanga bombo hospital haina x ray, hii ndio bongo bwana sasa hao wageni sijui wanaweza kufanya kazi katika mazingira hayo?
 
1. Hawajafikiria swala la lugha? Au atakuwepo mkaliman?
2. Hzo fedha zinatosha kuwalipa madaktari madai yao yote na chenji ikabaki.
3. Wanaweza wakanunua vifaa vya kila aina vinavyohtajika na madaktari na chenji pia ikabaki.
4. Inatosha kujenga muhimbili nyingine.
 
Mambo hayo. Hapa ni kwamba kama mgonjwa hajui Kichina, Kingereza, Kihindi au Kizulu imekula kwake. Hao madoctor mpaka wajue Kiswahili waweze kuwasiliana vizuri na akina sisi huku shamba ni shughuli.
Kweli Masabuli alijua wanafikiria kwa kutumia nini!!! Loh
 
Katika gazeti la Tanzania Daima la leo kuna habari hiyo.
Hapa napata maswali mengi kiliko majibu.
1.kwa nini kiasi hicho kisitumike kutekeleza madai ya madaktari na kutanzua mgogoro huo?
2.Fedha hizi kwa nini zisitumike kuboresha hospital kwa kununua vifaa vya hospital?
3.Kwa nini kwa Serikali hii kukija swala la kukodi kitu fedha hupatikana mara moja?
Na maswali mengine mengi,hebu tuisaidie serikali katika kufanya mipango yake.Tujadili

Ndugu yangu wote ambao wameshiriki kutoa maamuzi hayo ujue ndio WALA RUSHWA NCHI HII. Wanapenda kutumia pesa hizo kwenye mambo yao binafsi hakuna cha kukodi madaktari wala chochote.
 
paty unadhani nini kifanyike ili kuepukana na laana hii isikamate vizazi vyetu?
mkubwa mbalu mi nadhani suluhisho ni kumg'oa mr dhaifu , ili ifanyike reform , makundi yote muhimu yakigoma atang'oka tu , hapa walimu waki support na wafanyakazi wa umma wakisupport mgomo , bunge litalazimika kupiga kura ya kutokuwa na imani , hizi reforms zitapelekea proper allocation of resources, mfano wadhaifu hawana pesa ya kuboresha mazingira ya kazi ya madaktari ila wana billion 200 za kuwalipa madaktari toka nje, huu si UTANI ndugu yangu
 
Last edited by a moderator:
ikiwa mawaziri ambao wengine ni maprofesa na akili zao wameamua kuziweka mfukoni kwa maksudi sitashangaa kwa hilo...............

sent from my i pad
near magogoni
 
Je manesi nao wakigoma?Kwanza serikali ijue kuwa hakuna Dr ambaye amestaafu na yuko tu amejikalia nyumbani.
Mimi binafsi sijawahi kuona labda nyie wenzangu.Wengi wana hospitali zao na wengine wana clinic kwenye hospital
binafsi.
 
Katika gazeti la Tanzania Daima la leo kuna habari hiyo.
Hapa napata maswali mengi kiliko majibu.
1.kwa nini kiasi hicho kisitumike kutekeleza madai ya madaktari na kutanzua mgogoro huo?
2.Fedha hizi kwa nini zisitumike kuboresha hospital kwa kununua vifaa vya hospital?
3.Kwa nini kwa Serikali hii kukija swala la kukodi kitu fedha hupatikana mara moja?
Na maswali mengine mengi,hebu tuisaidie serikali katika kufanya mipango yake.Tujadili

Naomba nikuulize na wewe kidogo swali mkuu,Je wizara ya afya umeishajua imetenga shilingi ngapi kuboresha mazingira ya mahospitali kwenye bajeti yao ya mwaka huu?
Je shilingi bilioni 200 ingelipa mshahara wa shilingi mil 3.5 mpaka mil 10 kwa specialist,madaktari wote tanzania kwa kipindi cha muda gani?
Je kada nyingine za utumishi wa umma baada ya kuona wenzao wanalipwa mil3.5 wao laki 3 mpaka laki 5 wakati wote wana kiwango sawa cha elimu wangereact vipi?
Je madai yote ya madaktari kutekelezeka haraka ili warudi kazini yataigharimu serikali shilingi ngapi?
Je serikali ichukue hatua gani ya haraka tofauti na hii ili kunusuru roho za walalahai wanaokufa mahospitalini kila kukicha kutokana na mgomo wa madaktari?

Ukinipa takwimu stahili hapo naweza kutoa comment zangu juu ya utayari wa serikali katika tatizo hili.
 
Back
Top Bottom