200billion kukodi madaktri ni sahihi

watanzania bwana kwa kulalamika tu hawajambo! chukueni hatua sio kila siku kwenye mitandao mnajadili then mnaishia kunyamaza .....mbona wenzenu wa misri tunisia na kwingineko wameweza.......acheni maneno kama wanasiasa wenu wake up and take action......

Woooord...
 
Na serikali haiwezi kuacha kutafuta njia mbadala ya kuhakikisha wagonjwa wanapata huduma kwa sasa wakati madaktari hawajachoka kugoma.tena ikibidi waingie mkataba na makampuni yenye mahosptali huko india ili waendeshe hospital zetu za rufaa.
hela za upuuzi huu ziko ila za kuboresha huduma za afya hakuna
 
Priority ndio udhaifu wa serikali hii, you buy 30 shangingi instead of 30 ct scanners!

Na wanapeleka fedha kusaidia shule na hozpitali za kanisani badala ya zao wenye, mbona hilo hamlisemi? MoU. ni wakati muafaka hizo fedha zilete madaktari badala ya kwenda huko.
 
sio laana ni ufirauni...hakuna laana kama hii watu wamehifadhi akili zako kwenye masa ''b''
 
Ingawaje serikali ya CCM ni bongo lala lkn sidhani wamefikia umbumbumbu wa kiasi hiki jamani lol!Badala ya kutumia hizo bilion 200 kumaliza matatizo ya ma dr wazalendo lkn waende kuwachukua ma dr wa nje watakaofanya kazi kwa mikataba mifupi?

Sidhani kama Baraza letu la Mawaziri limechoka kufikiri kiasi hiki jamani khaaa!
 
Wakisha tupandikiza marazi yasiyotibika wapokee mshiko wao tubaki tunaugulia wao waondoke kisa ni roho ya kwanini.
 
itafika mahali itabidi SHEREHE ZOTE ZA SERIKALI ZISITISHWE, sijui muungano,uhuru,sijui sikukuu ya nini,mbho za mwenge, pesa zote zielekezwe kwenye utauzi wa kero kama hizi na huyu mk.were aache kuchezea hela kuzurura kama pia.
 
Bilioni 200 haitoshi kuwalipa madaktari ule mshahara wa milioni tatu na nusu wanazodai.inatakiwa matrioni ya pesa na hayapo.
Basi waimarishe hata huduma za hospitali kama kununua vifaa lbd itawashusha madaktri maana na hilo ni mojawapo ya madai yao! Kwa hilo naanza kuhisi kuwa kuna kitu wanatumia kufikiri tofauti na akili, ina maana hapo ndo wamefikia mwisho wa ubunifu wa solutions?
 
itafika mahali itabidi SHEREHE ZOTE ZA SERIKALI ZISITISHWE, sijui muungano,uhuru,sijui sikukuu ya nini,mbho za mwenge, pesa zote zielekezwe kwenye utauzi wa kero kama hizi na huyu mk.were aache kuchezea hela kuzurura kama pia.
Tatizo lako wewe uchadema umekuingia sana.
 
Basi waimarishe hata huduma za hospitali kama kununua vifaa lbd itawashusha madaktri maana na hilo ni mojawapo ya madai yao
wao wanataka hela kwanza, hili swala la vifaa ni geresha tu. hata wakiletewa vipya watasema ni vibovu halafu wanakulengesha kungine wanapopata %.
 
Tanzania Daima ni gazeti la Udaku sio la kulifuata kabisa.

Kweli kabisa!
Na mmiliki wake,Freeman Mbowe ni mcheza disko!
Cha ajabu,disko hili ndio linapelekea wezi wa mali ya umma kukamatwa,CCM kuzinduliwa usingizini,wananchi kuendelea kifikra,na 2015 disko la mbowe litaing'oa CCM madarakani!
Udaku wa tz daima hoyeeee...
 
Na wanapeleka fedha kusaidia shule na hozpitali za kanisani badala ya zao wenye, mbona hilo hamlisemi? MoU. ni wakati muafaka hizo fedha zilete madaktari badala ya kwenda huko.
Ingekua ni hivo kweli Madakatari wa KCMC Bugando Mbeya na hanang wasingekua wanagoma
 
Hapa nitapata ban, Kuanza kufuatiliwa ngoja nitoke. Kumbe kuwa na idadi kubwa ya mawazi ni hatari?
 
Wanadhani wanawakomoa madaktari ila mjue mwisho wa siku kuna miradi ya maendeleo ambayo either itakwama kabisa au haitatekelezwa.
Kwa kifupi hatuna viongozi.
 
wao wanataka hela kwanza, hili swala la vifaa ni geresha tu. hata wakiletewa vipya watasema ni vibovu halafu wanakulengesha kungine wanapopata %.
Viletwe kwanza af ndo tutajua ka watavikataa kuliko ku assume, na hata wasipovitumia wao basi itakua asset kwa taifa in future vitatumika tu!
 
Me nasubiri nione utekelezaji wake,hapo tayari wameishajipatia ulaji wa 10% hapo.
 
Ushawahi ona maamuzi ya JUHA yanakua ya busara?? Tunaongozwa na majuha wenye ndoto za kiabunuasi. Its time for Tzns to take actions........kulalama sasa baaaaaaaaaasi!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom