Still bado watawala 3 ; watawaliwa 0. Mpaka sasa hivi midfield( Bunge) ya watawaliwa imekufa. Watawala wametawala sehemu ya kiungo(Separation of Power). Kiungo cha timu ya watawaliwa kinatakiwa kufanyiwa mabadiliko 2010. Bila hivyo watawaliwa wataandelea kushambulia lakini tunafungwa kwenye counter attack!
How Tanzania longed for men and trailblazers like you. We now dare to hope together. Thank you for being at the frontline. Thank you for the summary report-and for the entire library of podcasts on your website. Tutamkoma nyani giladi, kutoka kila kona. Kheri ya mwaka mpya 2009.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.