20 Most Influential Young People in Tanzania

Companero

Platinum Member
Jul 12, 2008
5,604
1,704
1. Emelda Mwamwanga - Bang! Magazine
2. Ridhwan Kikwete - UVCCM
3. Constantine Magavilla - ZAIN
4. Zitto Kabwe - CHADEMA
5. Elsie Kanza - State House
6. Kelvin Twissa - Zain
7. Modesta Mahiga -Professional Approach
8. Mwamvita Makamba - VODACOM
9. Professor J - Bongo Flava
10. Mwanakijiji - CCJ/CCK
---------------------------
11. Invisible - JF
12. Issa Michuzi - Michuzi Blog
13. Eric Shigongo - Global Publishers
14. Shyrose Banji - NMB
15. Masudi Kipanya - www.kipanya.co.tz
16. Fina Mango - One Plus Communication
17. Humprey Polepole - Tanzania Youth Coaltion, TYC
18. Jerry Silaa - Naibu Meya, Ilala
19. Lay Jaydee - Machozi Band
20. Kitila Mkumbo - UDSM
 
Hawa wanastahili kuwemo kwenye orodha hiyo kama nao ni vijana:

1. Issa Michuzi - Michuzi Blog
2. Eric Shigongo - Global Publishers
 
Damn inabidi nifuatilie Tanzania's social scene a bit more, I have only heard of number 2 *a* (since ameirudia hiyo number), 3, 8 and 10.
To be honest I didn't even know they were influential to begin with
laugh.gif
 
Hawa wanastahili kuwemo kwenye orodha hiyo kama nao ni vijana:

1. Issa Michuzi - Michuzi Blog
2. Eric Shigongo - Global Publishers

Michuzi? No way jose!! He's in his 40s. He's officially an old head. I mean, let's face it...I've been hearing about Michuzi since I was in primary school. He definitely doesn't belong in that list.
 
Damn inabidi nifuatilie Tanzania's social scene a bit more, I have only heard of number 2 *a* (since ameirudia hiyo number), 3, 8 and 10.
To be honest I didn't even know they were influential to begin with
laugh.gif

Google is at your service
 
Michuzi? No way jose!! He's in his 40s. He's officially an old head. I mean, let's face it...I've been hearing about Michuzi since I was in primary school. He definitely doesn't belong in that list.

Kuna watu wana-rise into the occassion toka wakiwa wadogo. Sasa kama alikuwa teen wewe ukiwa primary school huoni atakuwa bado kijana? Au hujawahi kugongana na maticha wako wa Mlimani na kushangaa kuwa hawazeeki - kumbe walikuwa makinda wakati wanakufundisha primary!
 
Wewe nilishakuambia mimi nilisoma Olympio bana. Mlimani nilisoma chekechea ile iliyounguaga....unaikumbuka wewe hiyo? I doubt it coz you probably were still in diapers then....Lol
 
Wewe nilishakuambia mimi nilisoma Olympio bana. Mlimani nilisoma chekechea ile iliyounguaga....unaikumbuka wewe hiyo? I doubt it coz you probably were still in diapers then....Lol

Either way the logic applies. Kuna watu, kama Michael Jackson, wanaanza kuwa influential toka wakiwa teens. Hivyo uliwasikia toka primary.
 
2. Paul Mashauri (President, East Africa Speakers' Bureau, n.k)
Hakuna jinsi utamkubali Costantine Magavilla bila kumkubali King Maker wake!
 
Either way the logic applies. Kuna watu, kama Michael Jackson, wanaanza kuwa influential toka wakiwa teens. Hivyo uliwasikia toka primary.

Logic? What logic? Michuzi is not young anymore. He's an old head. For all I know he could probably father half of those on the list. I just don't see where the 'logic' applies in including Michuzi in your list...he just doesn't belong in it.
 
1. Emelda Mwamwanga - Bang! Magazine
2. Ridhwan Kikwete - UVCCM
3. Constantine Magavilla - ZAIN
4. Zitto Kabwe - CHADEMA
5. Elsie Kanza - State House
6. Yona Maro - Wanabidii Forum
7. Modesta Mahiga -Professional Approach
8. Mwamvita Makamba - VODACOM
9. Professor J - Bongo Flava
10. Mwanakijiji - CCJ/CCK
---------------------------
11. Invisible - JF
12. Issa Michuzi - Michuzi Blog
13. Eric Shigongo - Global Publishers
14. Shyrose Banji - NMB
15. Masudi Kipanya - www.kipanya.co.tz
16. Fina Mango - One Plus Communication
17. Humprey Polepole - Tanzania Youth Coaltion, TYC
18. Jerry Silaa - Naibu Meya, Ilala
19. Lay Jaydee - Machozi Band
20. Kitila Mkumbo - UDSM

is it a coincidence they are all based in DAR ES SALAAM[as far as i know] or there is an explaination for that???
 
Prondo, de facto makao makuu ya nchi ni Dar es Salaam hivyo si ajabu watu wanao-influence nchi hii wakawa wamebanana humo.

Nyani, haya nimekubali yaishe, Michuzi sio kijana - yuko kwenye reserve list, hao top 10 ndio listi ya awali, tuendelee kui-refine zaidi.

Shy, hapo tunaongelea watu wenye influence kubwa katika ngazi ya kitaifa na kimataifa, walio katika orodha hiyo wanasikika kila kona.
 
At least not to me; could be applicable to others.

My list drops as follows:-

  1. My young Mentor
  2. My young Leader
  3. My young Spiritual Counsellor
  4. My young Teacher
  5. My young brother
  6. My young Sister
  7. My young child
  8. My young (boy) Friend
  9. My young (girl) Friend
  10. My young Competitor
 
Campanero, inaelekea bado hujasahau uccm wako hata bada ya hawa jamaa kukufanyizia!! Mbona list yako imejaa hawa vijana watoto wa mafisadi na ccm sympathizers? Nilitegemea kuona jina la Mnyika kwenye list yako ya kumi bora; lakini hata kwenye ishirini bora yako hayumo!
 
I must be living in a diffrent planet,that boy BASKETBALLER,who plies his trade in the united states is not in the list.I would have thought just by keeping tanzania in the map he should top the list anyway i stand to be corrected
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom