20 most Influential JF members 2016

20 Most influential Jf members

Wakuu leo nimeona nitoe list ya watu wenye ushawishi , kuna muda unaweza ukawa huna cha kuandika au kukoment humu ila unaweza kupitia habari mbalimbali ambazo nyingi zimeandikwa na watu hawa.

Hawa ni baadhi ya watu wenye ushawishi Jf.


1. Mshana Jr
2. Nyani ngabu
3. Matola
4. Eveline salt
5. Heaven on earth
6. Faiza foxy
7. Warumi
8. Bujibuji
9. Miss chagga
10. Luttashobolwa
11. Nifah
12. Clueless14
13. Gentamycine
14. Saint Ivuga
15. linguistics
16. Mzito kabwela
17. Kaka jambazi
18. Mamndenyi
19. Singidadodoma
20. Deo Corleone


Sources: Brain yangu.

Terms and condition applied

Kwa habari nilizozipata na sikumbuki nani kaniambia ni kwamba yawezekana hao wote uliowataja hapo 20 akawa ni Mtu mmoja tu! Hata hivyo akhsante kwa kunikumbuka katika UFALME wako uliotukuka. Kama hujatajwa hapo USIKASIRIKE sana bali jitahidi na Wewe uweze kuwa MAARUFU kama wengine humu na ukiona mpaka Member wa JF anakufagilia au ana kukubali jua hata Mwenyezi Mungu na Malaika wake nao WANAKUKUBALI na WANAKUPENDA.
 
20 Most influential Jf members

Wakuu leo nimeona nitoe list ya watu wenye ushawishi , kuna muda unaweza ukawa huna cha kuandika au kukoment humu ila unaweza kupitia habari mbalimbali ambazo nyingi zimeandikwa na watu hawa.

Hawa ni baadhi ya watu wenye ushawishi Jf.


1. Mshana Jr
2. Nyani ngabu
3. Matola
4. Eveline salt
5. Heaven on earth
6. Faiza foxy
7. Warumi
8. Bujibuji
9. Miss chagga
10. Luttashobolwa
11. Nifah
12. Clueless14
13. Gentamycine
14. Saint Ivuga
15. linguistics
16. Mzito kabwela
17. Kaka jambazi
18. Mamndenyi
19. Singidadodoma
20. Deo Corleone


Sources: Brain yangu.

Terms and condition applied

Good view
 
Acha blah blah Mkuu jitahidi na Wewe ujijengee UMAARUFU wako humu. au tatizo NYOTA?
Labda kama hujaelewa content ya comment.... Ipo katika jokes... Sijaja kutafuta umaarufu JF, ili iweje? Kwa faida gani? Na nani ananijua mimi? Nipo ku refresh tu na kupata habari. Kwa hiyo kua mpole.
 
GENTAMYCINE VS KIRANGA, mtoa mada hujitambui, huyo genta anapost mada nyingi za kijinga then umpambanishe na kiranga(think tank)????? toa genta weka kiranga.

Hata Diamond Platinum a.k.a Nasib Abdul ndiyo Msanii anayeongoza kutoa NYIMBO zisizo na mbele wala nyuma na kama za kipuuzi hivi lakini ndiyo Msanii anayeongoza kwa KUKUBALIKA na KUUZA albums zake ndani na nje ya nchi lakini kama haitoshi pia ndiyo Msanii mwenye MAFANIKIO makubwa na ana NYOTA ya kupendwa na kila rika.

Hivyo basi GENTAMYCINE sina tofauti ya mbali na Diamond Platinum na labda tu leo nikufungue kwa kukuambia kuwa huo huo UPUUZI wangu unaouita ndiyo unanifanya nipendwe na nadhani ndiyo member ninayeongoza kufuatiliwa na Idara zote za nchi hii unazozijua Wewe na hata wana habari wananifuatilia mno juu ya nini ninachokileta humu.

Kukuthibitishia tu hili kwa TAARIFA yako tu anayekutawala sasa Msubi ni mmoja wa Watu wanaonipenda na kunifuatilia sana humu JF na nimeshajadiliwa mara mbili katika Vikao vya ndani vya IDARA Kuu mbili hapa Tanzania ambapo baadhi ya Wajumbe waliokuwepo walikuwa wanashinikiza nichukuliwe hatua au nifuatiliwe lakini huwezi amini Bosi wao Mkuu wa Idara moja na Naibu Bosi Mkuu wa hiyo Idara nyingine kwa UMAKINI wao mkubwa ULIOTUKUKA wakasema / wakaamuru kuwa badala ya wao kutaka kunichukulia hatua basi WANITUMIE MIMI KAMA CHANZO CHAO CHA TAARIFA au JAMBO LOLOTE akimaanisha ( credible whistle blower ) na hata hivi ninavyoandika hii post kuna Watu wamekuwa assigned kufuatilia kila ninachokiandika humu JF ili wao wawahi kukifanyia Kazi na WANANIPENDA na WAMENIKUBALI na nina UHAKIKA wa 100% kuwa hata humu wapo hao waliokuwepo katika VIKAO VIKUU wa hizo TAASISI.

Kama hiyo haitoshi ili uone kuwa GENTAMYCINE ni habari ya mjini habari zangu nyingi zinatumiwa mno na bloggers mbalimbali na mwisho huwa wanafanya acknowledgement ya ID yangu hii hii. Kwa uthibitisho zaidi nakuomba tembelea blogs mbalimbali UJIRIDHISHE.

Mwisho nikupe tu huu UKWELI ambao hata wenyewe mioyoni mwao WANAKUBALI kuwa hawa hawa members ambao unaona WANAJIFANYA kunipiga MADONGO au kujifanya WANACHUKIA na mabandiko yangu humu amini usiamini kuwa ndiyo hao hao WANAOONGOZA kwa KUNIFUATILIA na KUNIPENDA na fahamu kuwa nina FOLLOWERS wengi mno humu JF kitu ambacho ni MAFANIKIO makubwa sana na NAFARIJIKA kwa hilo.

Technique kubwa ambayo naitumia humu na ambayo pengine ulikuwa huijui na inayoniweka JUU kila siku ni ya formula ya KISS isemayo " KEEP IT SIMPLE but STUPID ". Ukitaka darasa zaidi juu ya hii mbinu yangu nitafute nikufundishe. Mkuu hata UNICHUKIE vipi au uniongelee vibaya vipi GENTAMYCINE humu JF ni talk of the town na sipati picha siku Watu wakiniona au kunijua kiuhalisia itakuwaje kwani naamini Watu wataomba kupiga SELFIES na Mimi hadi Camera zao za Simu zitazima.

NYOTA na SENSE OF HUMOR yangu ni ya kiwango cha ajabu na ni zawadi niliyopewa na Mwenyezi Mungu ambayo Wewe au huyo uliyemtaja hapo au hata members wengine HAWATAWEZA kuwa nayo.

Mwishi naomba unipe MAFANIKIO yako humu JF au ya huyo ULIYEMTAJA ili twende sawa. Kipele kimepata MKUNAJI!
 
Labda kama hujaelewa content ya comment.... Ipo katika jokes... Sijaja kutafuta umaarufu JF, ili iweje? Kwa faida gani? Na nani ananijua mimi? Nipo ku refresh tu na kupata habari. Kwa hiyo kua mpole.

Hapa ukija moto unatulizwa tu! Haya kafanye kazi sasa.
 
20 Most influential Jf members

Wakuu leo nimeona nitoe list ya watu wenye ushawishi , kuna muda unaweza ukawa huna cha kuandika au kukoment humu ila unaweza kupitia habari mbalimbali ambazo nyingi zimeandikwa na watu hawa.

Hawa ni baadhi ya watu wenye ushawishi Jf.


1. Mshana Jr
2. Nyani ngabu
3. Matola
4. Eveline salt
5. Heaven on earth
6. Faiza foxy
7. Warumi
8. Bujibuji
9. Miss chagga
10. Luttashobolwa
11. Nifah
12. Clueless14
13. Gentamycine
14. Saint Ivuga
15. linguistics
16. Mzito kabwela
17. Kaka jambazi
18. Mamndenyi
19. Singidadodoma
20. Deo Corleone


Sources: Brain yangu.

Terms and condition applied
Naona wanaushawish
 
20 Most influential Jf members

Wakuu leo nimeona nitoe list ya watu wenye ushawishi , kuna muda unaweza ukawa huna cha kuandika au kukoment humu ila unaweza kupitia habari mbalimbali ambazo nyingi zimeandikwa na watu hawa.

Hawa ni baadhi ya watu wenye ushawishi Jf.


1. Mshana Jr
2. Nyani ngabu
3. Matola
4. Eveline salt
5. Heaven on earth
6. Faiza foxy
7. Warumi
8. Bujibuji
9. Miss chagga
10. Luttashobolwa
11. Nifah
12. Clueless14
13. Gentamycine
14. Saint Ivuga
15. linguistics
16. Mzito kabwela
17. Kaka jambazi
18. Mamndenyi
19. Singidadodoma
20. Deo Corleone


Sources: Brain yangu.

Terms and condition applied

Sijamwona Mzizimkavu?!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom