2 luv or 2 be luvd first?

Hiyo lugha mpendwa,
Dah, itaidi basi kwa afya ya akili, kutumia lugha fasaha, kama kingereza basi kieleweke,
Kama kiswahili kieleweke pia.

Me love where there is Love.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
teh! LD Ngeli yako teh! Binafsi napenda vyote coc ikipungua kwa moja hakuna mapenz!
 
no formular, you may love when you are not loved and viceversa is true. just make t when you are ready.
 
Hivi kumbe nilichekesha watu hapa.
Dah, afadhali, naamini mliongeza siku tano ktk siku zenu za kuishi.
Tehe teheee

LD mpenzi
embu nikumbushe kidogo
Eti we ulinipenda kwanza au
mie ndo nilikupenda kwanza au
tulipendana.. na je utamu uko wapi?
upendo wa upande mmoja au kote kote..
 
LD mpenzi
embu nikumbushe kidogo
Eti we ulinipenda kwanza au
mie ndo nilikupenda kwanza au
tulipendana.. na je utamu uko wapi?
upendo wa upande mmoja au kote kote..

Sisi tulipendana mpenzi, kama utani lakini ikawa kweli.
Dah, inapendeza iwe kote kote aisee, manake hii ya ONE WAY TRAFFIC inatesa sana.
Sasa jpili hii wapi aisee...............
 
The end justify the means so haichagui nani aanze kupendwa ndo apende
 
Sisi tulipendana mpenzi, kama utani lakini ikawa kweli.
Dah, inapendeza iwe kote kote aisee, manake hii ya ONE WAY TRAFFIC inatesa sana.
Sasa jpili hii wapi aisee...............

Dahhhh kweli
Mapenzi yetu hayanampaka
Sababu ni TWO WAY TRAFFIC
Na inasaidia sababu hakuna TRAFFIC JAM
The road is always clear. Mmmmmmhhhhhh

Nway
waonaje tukienda pic nick
Mahali tulipokutana mara ya kwanza?
Halafu kwa dinner tuende kwenye ile restaurant
uipendayo . Kama hukuchoka nikupeleke kuangali
movie my be get a bottle of wine in our way home..
What do you think?
 
Back
Top Bottom