Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,320
- 17,822
nimeanza nini?ushakula keki?ngoja nikuletee mishumaa halafu useme a wish.
Kabakabana mambo?:A S-coffee:
nimeanza nini?ushakula keki?ngoja nikuletee mishumaa halafu useme a wish.
Dogo nilimpa sh 100 kakimbia kununua bagiaOna sasa! Si tunahangaika kukutumia ma'congra , we umetuachia Thrade umekimbilia kurusha Tiara!
Haya rudi jamvini eeh, usilie ntakununulia pipifilimbi.
Happy new year
no no !
Happy birthday.
Kabakabana mambo?:A S-coffee: