2.3.1990 kidume ndo nimekuja duniani

We mtoto wewe umekuwa mapema wenzako wanakuwaga Fb we umekuja Jf anyway HB 2u
 
Ebwana mambo vp?dah!kama dizaini kitambo sijazama pande hizi.Autuseme sija post ***** humu Chitchat,ebwana leo ndo kijana mwenzenu,au mtoto wenu au mjukuu wenu au ata mtoto wenu piya,ndo nazariwa tarehe kama ya leo mwezi kam wa leo ila mwaka tofauti nimezaliwa miaka ya tisini tu hapo bado,Japo Mtoto wa mwenzio mkubwa mwenzio maana kuna mijitu humu aikawii kumbe mtoto sawa mtoto ila ningewai kuliona juwa kabla yako ningekuzaa,ok 2achanaye na hayo amkawii kusema na maneno mengi kama nimebemendwa,cha msingi thany kwa wadada wote walio ni Pm pamoja sana na wapenda sana,japo sijaona ata Pm moja ya kiume ila powa 2tazidi kufahamiana na kujuzana,Ansante

Subiri PM yangu ila usilalamikie ukameruni JF.
 
Dah,mi siku kama ya leo mwaka huo ulozaliwa ndpo nmeanza kupiga machine kwa mara ya kwanza,itabidi uni PM ili nijue ukongwe wamechi yangu ya kwanza!!
 
Mbwembwe zote ili 2 upewe congrats? Haya young mæn! Hap birthday then....mie ni every 3rd of january.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom