1st lady na 2nd lady nani mkali??

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,474
54,801
Mgeni Rasmi Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Zakhia Bilal, akizungumza jukwaani baada ya kuzindua rasmi kundi na albam ya kwanza ya kundi jipya la Tanzania Modern Taarab (T-Moto).mia

6.jpg
 
Mke wa Rais anaenda kwenye uzinduzi wa taarab,, bado mwingine kwenda uzinduzi wa fiesta
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom