1st Lady aliyemweka rais kiganjani waziwazi..mzee ana sauti kweli hapa?

I am not surprised we all know that MEN CONTROLS THE WORLD but WOMEN CONTROLS MEN.... :A S tongue:
 
Watu wengi waliowahi kupunchiwa, kutolewa kwenye tabloids na kusingiziwa mambo wana hisia kama za huyu mama, kasoro yake tu ni kuwa she has guts to storm the media. Unadhani mama Clinton anafurahia mumewe akisemwa? Je Obama alipopigwa picha kama vile anamtazama kimwana ( picha haikitolewa yote obama was looking past the girl but the ight he was looking to was not shown) na hata wazazi wa hao bongo celebrities wanavyochorwa kwenye magazet ya udaku, usifikiri wanafurahia, wana hasiora kali bali hawajui cha kufanya. Na haka tunakoita kaelimu wakati mwingine ndiyo kanatuzuia kupiga makofi waandish wa habari. Kuna binti alitolewa kwenye gazetyi la udaku hapo, ilileta ugomvi mkubwa kwenye familia, extended family hawakuelewa kinachoendelea wakamtenga, mzee wake alimtenga, mama yake na baba yake wakawa kambi tofauti kuhusu kilichotokea, basi ikawa tafrani tu. Namuunga mkono mama kibaki.
 
Haya ndo matunda ya Ubeijing, maana ukishamuingia mwanamke hajali yuko katika mazingira gani. Chama cha kutetea haki za wanaume chaja na hivo akina Kibaki-like watapata mkombozi.
 
uyo mama ni chizi bwana, ivi umeangalia iyo video ya pili yake, unafikiri ana akili timamu huyo, uzee umemmaliza kwishnei yaani wa kusaidiwa kabisa.
 
Haya ndo matunda ya Ubeijing, maana ukishamuingia mwanamke hajali yuko katika mazingira gani. Chama cha kutetea haki za wanaume chaja na hivo akina Kibaki-like watapata mkombozi.


Sidhani kama inahusu sana ubeijing. Mtu yeyote yule akionewa sana anajanjanjaruka. Kumbuka hata bubu huwa anasema akiona yamemzidfi. Wanawake wanaodhaniwa kuwa ni wakali na wana matata walikuwepo toka enzi za mababu. Sasa hivi tunajua vitu vingi kwa sababu ya kusambaa kwa njia nyingi za kusambaza habari.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom