1997 land rover range rover 2.5 diesel

Mfikilwa

JF-Expert Member
Mar 11, 2008
408
116
Manufacturer: Land Rover
Model: Range Rover 2.5 DSE
Fuel: Diesel
Year: 1997
Transmission: Auto
Mileage: 152,000
Price: 28.500,000 TZS

Namba yake ya Tanzania ni TxxxCBS.
Range Rover 1.jpg Range Rover 2.jpg Range Rover 4.jpg Range Rover 5.jpg Range Rover 6.jpg Range Rover 7.jpg Range Rover 8.jpg Range Rover 9.jpg Range Rover 10.jpg
 

Attachments

  • Range Rover 3.jpg
    Range Rover 3.jpg
    28.7 KB · Views: 59
mkuu ni biashara, Mungu atanisaidia nitauza tu, hata kama mtazamo wako siwezi pata mnunuzi, mbona mimi nimenunua na siyo EPA, siyo kila kitu EPA tu. web uliyoituma nimeona, siyo mbaya ata kama mtu atatafuta mwenyewe kwenye web, ni biashara wala si kulazimishana. asante kwa ushauri lakini

Mkuu hiyo bei huwezi pata mnunuzi. Why? kwa sababu Range Rover na NISSAN kwa Tanzania
inajulikana these type of Car have very low resale value. Wengi wanaonunua wakitaka kuuza
wanauza nusu au hata chini ya nusu ya bei. Its only EPA guys will buy at that price.

Lakini pia watanzania wengi sasa wanajua angalia hapa http://www.autoscout24.eu/Details.aspx?id=217194721&cd=634768778240000000
 
mkuu ni biashara, Mungu atanisaidia nitauza tu, hata kama mtazamo wako siwezi pata mnunuzi, mbona mimi nimenunua na siyo EPA, siyo kila kitu EPA tu. web uliyoituma nimeona, siyo mbaya ata kama mtu atatafuta mwenyewe kwenye web, ni biashara wala si kulazimishana. asante kwa ushauri lakini

Mi nimetoa kama ushauri (fanya market research yako vema then price accordingly). Dont take it negatively
 
duh kwa hiyo ink na bei ya huyu, ni ulanguzi au? uwiii gari iliyo miaka 15, old model juu. mmh pesa hiyo haitoki kwangu.
 
Manufacturer: Land Rover
Model: Range Rover 2.5 DSE
Fuel: Diesel
Year: 1997
Transmission: Auto
Mileage: 152,000
Price: 28.500,000 TZS

Namba yake ya Tanzania ni TxxxCBS.

Inaelekea wewe mtunzaji kweli yaani gari ina miaka karibu 15 halafu imetembea km 150 000 tu!, duh hongera kwa hilo!
Kwa maana niko Dar na matumizi ya kawaida tu kwenda town nakurudi nakata kama 15 000 km kwa mwaka bila kuhesabu trip za mkoa na nje ya nchi!
Anyway mimi sio mnunuaji nisikupotezee muda wako nimeshangazwa tu na utumiaji na utunzaji wako!


 
Back
Top Bottom