17 richest in Tanzania

Hapa ni MZEE WA AZAM TU, wapi jeetu patel, Subash mzee wa estim, mzee mkono wa bank m, Maneck wa eximu, heritage insurance, alliance insurance mac group unatuwekea wana siasa, Anwar wa Tanzania road haulage,

Mkuu inaonyesha huna data. Eti mengi wa itv maweee

Vile vile kuna watu kama akina Mwita Gachuma, J. Sabodo, A. Chande nao hawamo.
 
Je Tanzania utajiri/umasikin viwe ndo vipimo vya kupata viongozi wetu


wafuatao ni top 17 richest in Tanzania
1.Said Salim Bakresa
2.Mont oil.com
3.Fida hussein
4.Reginal Mengi
5.Rostom Azizi
6.Mohamed Dewji
7.Yusphu Manji
8.Michael Ngaleko
9.Mohammed Dharumasi
10.Nazir Mustapha Karamagi
11.All Mufuit
12.Edward Ngonyayi Lowasa
13 .Azizi Abood
14 .Nasoro Doll treavel
15 .Patel
16.Philimoni Ndisambulo
17.Freemon Mbowe



huhuhuuu tukiona linafaa tulipitishe kwenye katiba mpya

Weka takwimu za kiasi cha kodi ya mapato (personal tax) walizolipa kuthibitisha ukweli wa hiyo list yako.
 
Je Tanzania utajiri/umasikin viwe ndo vipimo vya kupata viongozi wetu


wafuatao ni top 17 richest in Tanzania
1.Said Salim Bakresa
2.Mont oil.com
3.Fida hussein
4.Reginal Mengi
5.Rostom Azizi
6.Mohamed Dewji
7.Yusphu Manji
8.Michael Ngaleko
9.Mohammed Dharumasi
10.Nazir Mustapha Karamagi
11.All Mufuit
12.Edward Ngonyayi Lowasa
13 .Azizi Abood
14 .Nasoro Doll treavel
15 .Patel
16.Philimoni Ndisambulo
17.Freemon Mbowe



Je wote hao nani fisadi?
 
We kweli muongo mwandamizi, Mdingi wangu hayumo??? Nenda TRA kaulizie anaelipa inkam tax kubwa zaid utaambiwa ni Mzee Nshangeki Kagarabumu Songoro!
 
List yako ina mapungufu mengi ajabu, utajiri, kwanza ulipaswa utoe ni utajiri wao kwa vigezo vipi. Wapo wenye vijikampuni, na wanatoa vijimisaada inayowawezesha kuuza sura magazetini na luningani, ni matajiri. lakini kwa hapa, ingekuwa sawa kama ungetuwekea taarifa za biashara wanazofanya, kodi wanayochangia taifa pamoja na rasilimali wanazomiliki, kwa ufupi:photo::photo:
 
hata mi sikubakiani na hii list, kwani haisemi namba1 ana utajili wa kiasi gani ? tunaomba vigezo ndugu
 
Nani kasema MENGI naye tajiri? acheni upuuzi. Yale maji anayotoa Mikocheni na kudanganya kwamba yanatoka chini ya Mlima Kilimanjaro ndo utajiri? Kwanza anapaswa kwenda kupata kiwanja Mabwepande maana pale kwake bondeni mafuriko yakirudi yatatusababishia msiba!!!
 
list ya uwongo hiii
tuletee hiyo ya ukweli mkuu, tunahitaji sana kujua hili eneo pia.
Maana wengine wanaongoza kwenye utajiri wakiwa wafanyabiashara lakini kwenye ulipaji wa kodi wanazidiwa kampuni ambazo zipo nje ya '100 bora'

 
wapi zakaria mwenye maghorofa kama uyoga town., even mwingira wa Efata c mnaona ana Bank yake
 
wapi zakaria mwenye maghorofa kama uyoga town., even mwingira wa Efata c mnaona ana Bank yake

watz kwakuropoka! Unaushahid wa maghorofa ya Zakaria?au na wewe chuki binafsi tu.usitumie makalio kufikir,najua utadhihrisha umakalio wako kujibu hapa,karibu ubwabwaje...
 
Comment nzuri.Big up
Nikiangalia hii orodha sioni hata mlipa kodi ,je kodi zao zinaendana na utajiri walionao,mi wote nawaona ni wachuzi tu na sio wafanyabiashara,hapo hakuna hata aliye na biashara inayowezwa kuitwa biashara halali,ni kama wale ma tycoon wa Russia(mamafia wa kirusi)hawa nao ni mamafia wa ki TZ
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom