15556

mchemsho

JF-Expert Member
Jun 8, 2011
3,212
867
Hawa wanajiita Pushmobile, Ni wezi, na matapeli wakubwa, wananitumia Sms za job alert tangu mwaka 2010, nimejaribu kujitoa (unsubscribe) lakini wapi.! Nilitembelea tigo pale mlimani city wakanizuga eti nitatolewa kwenye hii huduma, wananiibia sh. 150/= kila siku kama gharama ya ujumbe. MSAADA plz wa kujitoa kwenye hii huduma nikipiga hesabu ya pesa yangu wanayokula kila siku inaniuma sana. Nawasilisha.
 
jaribu kutuma sms "ZIMA TBC" kwenda 15556.
 
Mchemsho nipe replay kama ulifanikiwa kujiondoa kwenye hiyo kitu. Na mimi wemeanza kunitumia sms zao na wanakata hela zangu wakati mi cjawahi kujiunga huo ujinga wao.
 
Andika( ondoa KAZI)KWENDA 15556 au 145501 au 15510 utaona
 
Kwa hiyo Sh.150 x siku 30 (au 31) x miaka 2 wamekukata na bado unaendelea na hiyo huduma?. Nadhani umeipenda sana, nakutakia kila la kheri.
 
hata mimi aisee wananitumia kila siku nimewapigia custamar care wakaniambia nitaondolewa baada ya saa 24 lakn bado
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom