Makamu wa Rais anasema serikali inasikitika kwa vifo vya polisi wawili. Kati ya watu 17 waliokufa wanaomboleza polisi wawili!Vice President Kalonzo Musyoka ..."Places of worship including churches, temples and mosques among others should be respected, it is unfortunate that two police officers assigned at the church were shot and killed," said VP Musyoka.
Wewe mwenyewe umetafsiri kitu tofauti na kilichoandikwa. Msyoka anasema ni bahati mbaya kwamba hata polisi waliopewa kazi ya kuwalinda wananchi wakati wa ibada wameuawa. Hii ina maana kwamba Msyoka alitegemea kwamba uwepo wa polisi hao ungewahakikishia usalama wanaosali. Sasa wewe unaongea kitu gani?Makamu wa Rais anasema serikali inasikitika kwa vifo vya polisi wawili. Kati ya watu 17 waliokufa wanaomboleza polisi wawili!
I hope wamekosea kumnukuu maana press yenyewe ya East Afrika ni jalala, na mambo ya Wakenya kutumia lugha ambayo hawaielewi vizuri.
Wewe mwenyewe umetafsiri kitu tofauti na kilichoandikwa. Msyoka anasema ni bahati mbaya kwamba hata polisi waliopewa kazi ya kuwalinda wananchi wakati wa ibada wameuawa. Hii ina maana kwamba Msyoka alitegemea kwamba uwepo wa polisi hao ungewahakikishia usalama wanaosali. Sasa wewe unaongea kitu gani?
Technically, Kenya imejiweka kwenye wakati mgumu sana hadi hivi sasa. Maana haiwezi kusema mikusanyiko yote mikubwa ilindwe na jeshi maana hayo yatakuwa ni matumizi mabaya ya jeshi, na hao polisi pia, kwa vyovyote vile hawawezi kupelekwa kila mahali, yamkini wapo maeneo mhimu tu. Lakini zaidi ya yote, ndiyo kama unavyosema, kwa vikundi wanavyopambana navyo wakenya, polisi si kitu kabisa. Na wala sijawahi kujua ni kwanini Kenya iliamua kuingia kwenye hii vita, maana sasa imejiweka kwenye risk mbaya kupindukia. Na kwa jinsi Rais wetu alivyo, haitakuwa ajabu akitangaza kupeleka jeshi huko Somalia na yeye. Halafu ukizingatia ulinzi wa Tanzania ulivyo hovyo naamini tutakuwa tunachinjwa kama kuku.Mkuu Lukolo hivi ni polisi gani wa nchi za ki-Afrika anayeweza kupambana na vikundi dada vya Alqaeda kama Alshabaab au Boko Haram?
Hiyo ni kazi ya jeshi tu tena kwa shida saaaana!, polisi ni wetu wa ki-Afrika ni watoto mno kamwe hawatoweza....
Hebu angalia jeshi la Kenya tangu wametuahidi kuwa watamaliza kazi pale Kismayu ilikua mwaka jana mpaka leo hata hawaja weza ku-move zaidi ya nchi kumi...:hat:
Technically, Kenya imejiweka kwenye wakati mgumu sana hadi hivi sasa. Maana haiwezi kusema mikusanyiko yote mikubwa ilindwe na jeshi maana hayo yatakuwa ni matumizi mabaya ya jeshi, na hao polisi pia, kwa vyovyote vile hawawezi kupelekwa kila mahali, yamkini wapo maeneo mhimu tu. Lakini zaidi ya yote, ndiyo kama unavyosema, kwa vikundi wanavyopambana navyo wakenya, polisi si kitu kabisa. Na wala sijawahi kujua ni kwanini Kenya iliamua kuingia kwenye hii vita, maana sasa imejiweka kwenye risk mbaya kupindukia. Na kwa jinsi Rais wetu alivyo, haitakuwa ajabu akitangaza kupeleka jeshi huko Somalia na yeye. Halafu ukizingatia ulinzi wa Tanzania ulivyo hovyo naamini tutakuwa tunachinjwa kama kuku.
its is quite saddening to note a full mod is obsessed with negatively potraying a fellow jirani country. i have been silently watching the enthusiasm of ab tichaz as he kept us updated with the unfortunate terrorist events. thing to note was ab tichaz eagerness to update us with the rising death toll. while he kept us updated with the rise of the casulties he has failed to review the figure downwards after the source he was using namely the nation apologized and gave a lower figure. question to ab tichaz. dont you feel any shame?
Kama alitaka kusema hicho unachosema basi ndo maana nakwambia wewe na huyo Makamu wa Rais wa Kenya, tumieni lugha mnazozielewa!Wewe mwenyewe umetafsiri kitu tofauti na kilichoandikwa. Msyoka anasema ni bahati mbaya kwamba hata polisi waliopewa kazi ya kuwalinda wananchi wakati wa ibada wameuawa. Hii ina maana kwamba Msyoka alitegemea kwamba uwepo wa polisi hao ungewahakikishia usalama wanaosali. Sasa wewe unaongea kitu gani?
Vice President Kalonzo Musyoka ...Places of worship including churches, temples and mosques among others should be respected, it is unfortunate that two police officers assigned at the church were shot and killed, said VP Musyoka.
Tatizo lako unafanya direct translation, kiingereza hakitafsiriwi hivyo.Kama alitaka kusema hicho unachosema basi ndo maana nakwambia wewe na huyo Makamu wa Rais wa Kenya, tumieni lugha mnazozielewa!
Unaongeza maneno na tafsiri ambazo hazipoa. VP wao amesema, "Ni bahati mbaya maofisa wa polisi wawili waliopangwa kwenye kanisa hilo walipigwa risasi na kufa." Sasa hao wengine ambao sio polisi wao sio vibaya kwamba wamekufa? Lugha aliyotumia Makamu wa Rais Kenya ni mbovu na ya kutojali.
Sounds nice, but kikubwa tusijitose kwenye vita ya somalia kama wenzetu wakenya walivyofanya, maana inawagharimu sana wakenya.Askari wetu ni wazuri na wazoefu wa vita si rahisi kufanywa asusa/kitoweo kama wengine. Kumbuka si mbali na hapo yaani maeneo ya Darfur-Sudan tuna kikosi kikubwa tu ambacho ndio mfano kwa vikosi vyote vya UN toka nchi nyingine.
Pia Kamanda mbaye ni second in command wa vikosi vyote vya UN ni mTanzania mwenzetu Major General Wynes-Jones Kisamba pictured below black man in black gloves!!!:
Nilitaka kusahau kitu moja muhimu, mkuu wa opereshi zote za UN pale Somalia ni mTanzania aitwae Augustine Mahiga (Ph.d) pictured below:
Kwa kifupi tunajitahidi kwa kweli ktk kusaidia ndugu zetu walio vitani ktk bara la Afrika lakini hali yenyewe ndio ilivyo..:hat:
Technically, Kenya imejiweka kwenye wakati mgumu sana hadi hivi sasa. Maana haiwezi kusema mikusanyiko yote mikubwa ilindwe na jeshi maana hayo yatakuwa ni matumizi mabaya ya jeshi, na hao polisi pia, kwa vyovyote vile hawawezi kupelekwa kila mahali, yamkini wapo maeneo mhimu tu. Lakini zaidi ya yote, ndiyo kama unavyosema, kwa vikundi wanavyopambana navyo wakenya, polisi si kitu kabisa. Na wala sijawahi kujua ni kwanini Kenya iliamua kuingia kwenye hii vita, maana sasa imejiweka kwenye risk mbaya kupindukia. Na kwa jinsi Rais wetu alivyo, haitakuwa ajabu akitangaza kupeleka jeshi huko Somalia na yeye. Halafu ukizingatia ulinzi wa Tanzania ulivyo hovyo naamini tutakuwa tunachinjwa kama kuku.