129m Zapatikana matembezi ya CUF

Sultan Lipumba amegombea Urais vipindi vinne mfululizo Lakini CUF inajitia ina wasomi kumbe ni huyu mmoja wa Ngama
 
Nilisikitika sana kusikia wanakwenda A Town kuvunja ngome ya Cdm nikajiuliza hiki ni chama cha upinzani au ni tawi la Ccm,? Haiingi akilini kwamba Cuf ni chama cha upinzani. Huu ni upuuzi mtupu. Sasa tumeamini yale yanayosemwa kwamba Cuf ni CcmB.
 

halafu wanaenda nje kuomba jk kachoka sasa kamuachia mwingine si umesikia mwakyembe leo kupitia sauti ya ujerumani ameenda kuomba reli na kukarabati ile meli ya miaka mia kule kigoma.
jana nilishangaa kuona jamaa wanasubiri picha ili tuone pesa maagizo kweli kweli

 
Hope CUF hawatahangaika na chadema bali na chama tawala, ccm. Viongozi wa CUF mjue kwamba chadema hawana dola, kwa hiyo msipoteze muda wenu na hicho chama cha wachaga, undeni strategy za kuiondoa ccm. Lengo la kuja Arusha liwe kuimarisha chama na si vinginevyo. nikiwasikia tena mnakuja kupambana na chadema binafsi sitokuja. nadhani mtakuwa mmenisoma.
 
Back
Top Bottom