129m Zapatikana matembezi ya CUF

CUF Ngangari

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
273
51
akiongea baada ya makabwela kuchangia kwa papo kwa papo na kutuma kupitia M-PESA, TIGO PESA, AIRTEL MONEY, A/C YA BANK ya NBC, prof i. h. Lipumba amesema watanzania waendelee kuchangia chama chao chama cha wanainchi. ambapo matembezi hayo yataendelea Arusha.
 
hii mbinu mpya ya vyama vya upinzani kuwahadaa wananchi kuitisha harambee za kisanii
 
kwa hiyo cuf hiyo pesa wanapeleka wapi au anamhonga bwanake!
 
Kabla ya kuchangia Lipumba atuambie kibindoni 'WANA MTAJI WA KIASI GANI KUFANYIA MATEMBEZI YA KUIMARISHA NDOA?
 
haya CCM nayo itaanza kuchangisha hela
Mbona ilianza sikunying sema wao wanatumia makampuni ya sim.utakuta wanatuma tu sms zao bila hata kujua mwanachama wao au la.nilichukia sana siku nilipo pata sms zao kufungua nakuta wakolon weus(ccm) wanataka niwachangie
 
wanatafuta ili wakipewa talaka waweze kuhimili misukosuko! ila kweli copy n paste kutoka cdm! ngoja tuwaone watakavyokwenda mikoani hasaa pembezoni, itakuwaje! nguvu ya sayona!
 
CCM wanachangiana..Loh CDM inawapeleka puta hivi vyama shirika balaa..
 
..kwa muda CUF wamekuwa wanapata ruzuku kubwa sana lakini hawajaitumia vizuri kusambaza chama chao huku Tanganyika. tusubiri tuone kama this time watakuwa efficient and strategic zaidi ktk matumizi ya ruzuku na hii michango wanayopata.
 
Back
Top Bottom