$120 million for a scream!

simplemind

JF-Expert Member
Apr 10, 2009
16,409
9,183
Jamani kama sio kufuru, tumuelewe vipi, Tajiri mmoja amenunua mchoro(canvas painting) jina scream a,k,a mayowe kwa bei ya dola za kimarekani milioni 120. Huyu tumuelewe vipi? Was it worth it?
 
to those who admire and reckognize art works,to spend a couple of millions on a paint si kitu, umesema tajiri...see! jamaa ni billionere
 
to those who admire and reckognize art works,to spend a couple of millions on a paint si kitu, umesema tajiri...see! jamaa ni billionere

Moral bankruptcy pure and simple. Thats why Bill and Melinda Foundation is hot.
 
Kila Mbuzi ala kwa urefu wa kamba yake.Ndo maana kuna wengine wanajengea vimada majumba ya mamilioni wakati sie kina kapuku buku kumi tu kumpa demu wako unaona unatoa millioni.iyo 120M kwa uyo jamaa nikama mmasai mwenye Ngombe 2000 kutoa zawadi ya ndama wawili kwa mpita njia
 
Jamani kama sio kufuru, tumuelewe vipi, Tajiri mmoja amenunua mchoro(canvas painting) jina scream a,k,a mayowe kwa bei ya dola za kimarekani milioni 120. Huyu tumuelewe vipi? Was it worth it?

Kwa utamaduni wetu na kiwango chetu cha maendeleo twaweza kuona kama huyo mtu ni punguani vile. Lakini hawa wenzetu wa nchi zilizoendelea wanathamini sana kitu kiitwacho 'art collection'. Picha za michoro mbalimbali kama vile tingatinga hapa kwetu zina soko kubwa nchi za magharibi. Huyu kanunua kwa dola milioni 120. Mwaka ujao 2013 au pengine 2014 ataweza kuiuza kwa dola kati milioni 150-200! Kwao ni biashara inayolipa sana.
 
Back
Top Bottom