10th Freemassons Conference - Whitesands

Mimi binafsi sijawahi kumkuta shetani akifanya ubaya mfano, kuzini na mke wa mtu, kuiba, kuchonga sanamu ya kuabudiwa nk. Haya yote yanafanywa na watu tena kutoka katika dini zinazonadiwa sana. Sasa swali linakuja, je kuna dini inayoweza kumwokoa mtu kutoka katika kifungo chake cha tabia ya asili? Na pia tukijaribu kurudi nyuma kuangalia watu waliotukuka katika vizazi vya binadamu yaani manabii, mfano Wa Nuhu, Abraham, Musa, Isaya, yeremea,Ezekie,Eliya, Daniel,*Yohana, Paul, kina Petro nk walikuwa ni wa dini ipi. Naamini kama utaweza kutafakari kwa kina kuhusu mambo haya utakuwa umepata jibu la maswali mengi yanayokusumbua katika maisha.
 
Seems wengi wenu humu hamna idea what is freemassons? yaani you guys are so dumb mpaka sioni hata sababu ya kuchangia hii topic maana mmeshajipa definition zenu ambazo zinaonyesha hamna hata muda wa kufanya research zenu wenyewe ili muelewe,mnaonekana kabisa kila kitu na sababu zenu ni rumours tuu na majungu ya mitaani na sielewi kwa nini inakuwa ngumu kuelewa maana Freemassons sio kitu cha siri na wanafanya mambo yao wazi wazi na kila kitu kipo all over the net mpaka official site na hata ofisi zao zipo na shughuli zao zinajulikana vizuri sana...Freemasons sio ushetani na wala hawaabudu ushetani na wanafanya kazi nzuri sana kwenye jamii,anyway info zote zipo fanyeni research wenyewe kuliko kukalia majungu.
 
The Church Of Satan

Just in case you haven't read any Satanic material before now, here is a quote from The Satanic Bible:
“There is no heaven of glory bright, and no hell where sinners roast. Here and now is our day of torment! Here and now is our day of joy! Here and now is our opportunity! Choose ye this day, this hour, for no redeemer liveth!”
The Satanic Bible: The Book of Satan IV:2

A Satanist does not believe in God, Satan, The Devil, Angels, Heaven, Hell, etc, all these items belong to Judeo-Christianity, not Satanism. If this is news to you then please, at some point, read the Description of Satanism. Neither does a Satanist believe in the Buddha's reincarnations, any myths of Judaism, Islam or Upanishad. They are irrelevant and silly ideas.

Peter Gilmore, High Priest of the Church of Satan concurs:
“As you can see there are no elements of devil worship in the Church of Satan. Such practices are looked upon as being Christian heresies. Believing in the Christian world-view of God vs. the Devil and choosing to side with the Prince of Darkness is pointless to the Satanist as neither exists. [...] To the Satanist, he is his own God. Satan is a symbol of Man living as his prideful, carnal nature dictates. Some Satanists extend this symbol to encompass the evolutionary "force" of entropy that permeates all of nature and provides the drive for survival and propagation inherent in all living things. To the Satanist, Satan is not a conscious entity to be worshipped, rather it is a name for the reservoir of power inside each human to be tapped at will.”
CHANZO: Worshipping the Devil vs. Satanism


MY TAKE;

wakuu,
nimeona vema niirudishe tena hii post ili tuweze kuijadili kwa weledi. mimi mwenyewe ni mkristo na siamini katika haya yanayohubiriwa katika kanisa la shetani.
hata hivyo, katika siku za hivi karibuni (octoba 2010), kumeripotiwa kuwapo kwa kikao cha watu wa dini hiyo jijini dar, huku wakijiita kwa majina kama freemasons na illuminati na wamehusishwa na viongozi na wasanii wengi hapa nchini kuwa washiriki kwenye kanisa hilo.

  • je, kuna ukweli gani kuhusu uwepo wa kanisa la shetani hapa nchini kwa majina ya freemasons na illuminati?
naomba kuwasilisha!!!
 
Inasemekana kuna uhusiano wa moja kwa moja baina ya Grand Corruption inayotukia nchini na hawa freemasons. These people are evil in everyway. Hivo vijisenti wanavyojifanya kusaidia sijui zahanati sijui shule is just a smoke screen.

. Unamaanisha fremanson au illuminato?!. Ktk encarta encyclopedia kuna sehemu inasomeka hivi: a secret masonic society with republican views was formed in 1776 by adam w, a prof of canon law in germany. This grp called illuminat bcos they claimed exclusive right 2the illumination of jesus, was anti-jesuit and was suppressed in 1785. Inaendelea kusema "members of the rosicrucian order, AMORC, a fraternal order based in calfornia, hv sometimes bn called illuminati".
 
Jjamani nimeonyeshwa pale quality plaza njia yakuingia precissionair offices kulia na kushoto kuna michoro ya ajabu ajabu mi nkajua mapambo nimetabanaishwa ni moja ya freemassons samples..mmmhh naambiwa ipo mpka kwenye dolla za marekan jaman ninavyozipenda si ndio wataturudisha umasikini ...anyway

Pia Samora Avenue - kuna duka la wahindi wanauza vito vya SILVER - earrings - pete, chains etc. - KATIKA VITU HIVYO - BAADHI VINA NEMBO ZA KISHETANI (NEMBO ZA FREEMASONS) - na usipojua unanunua - unavaa - unapopita waabudu shetani wanajua u-mwenzao na pia unaingiwa na bad spirits - TELL U R WIVES, ANTIES, HUSBANDS, CHILDREN - FREEMASONS ARE DEVIL WORSHIPPERS - DISGUISED IN A CLUB - KUSAIDIA PROJECTS ETC. - ILA KWA WALIO ROHONI TUNAWATAMBUA ............... STAY AWAY FROM IT!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
tupe ushahidi kuwa ni dini(mimi nakataa kuwa c dini) tupe ushahidi wa uhusiano wao na shetani.

Nilichoeleza ni kuwa uhuru wa kuabudi uko kwa kila mtu regardless anachoabudu ili mradi hachochei vurugu kwa watu wanaoabudi imani tofauti. La mwisho nililosema tusilazimishe eti watu waache kuabudu kwa Freemassons eti ni dini ya mashetani, ndo ninawauliza wanaosema ni dini ya mashetani wasema huyo shetani walienda wakamwona au rumours tu ndo wanashikilia bango. Mimi nasema hakuna mashetani na anaetaka anakaribishwa
 
Hakuna ubishi hapo, Dini ya waabuduo shetan ipo, na imetapakaa kila mahali. Na isitoshe hawa jamaa wamejikita kwenye N'GOs ndio maana hawajashtukiwa mapema, sifahamu namna ya kuweka picha kwenye JF mngeziona, kwa anaefahamu namna ya kuweka picha anielekeze muweze kuona.
 
nafikiri huo mkutano wao huko whitesands hautafichua chochote kuhusu wao,mambo yao ya siri wanafanya ktk vikao vyao vya siri hivyo naamni hata walioenda hawatakuwa na cha ajabu cha kueleza.
 
Ndugu wapendwa FJ be careful, hawa jamaaani hatari sn, mnamo waka 1997 kati ya june na september walikuwa na mkutano wao sijui ni wa kwanza au la, walikuja kufanya mkutano pale Banquet hall no 1 pale Sheraton na mimi nikuwa mhudumu ktk mkutano ule hawa jamaa ni watumishi wa kuzimu kabisa, na baadhi ya viongozi kwa kujua au kutokujua wamekuwa members, wanatagert zaid viongozi wa nchi, hata Kenya Moi amekuwa member muda mrefu sn, na pia walikuwa Kenya kabla ya kuja TZ, waliyokuwa wanazunguza ilikuwa siri japo mimi kama waiter nikuwa nawasikia kiasi, mikakati yao nikuleta taflani katika jamii, baadhi ya viongozi wa makampuni makubwa niliwaona ni members wakubwa sn, jamani tujiepushe na watu hawa ni watumishi w kuzimu, wanahusika kusababisha ajali mbalimbali kwa kutaka kupata damu za watu
Nawasihi mwenye kusikia asikie kama ukitaka kujionea basi utaliwa nyama nakupelekwa kuzimu.
 
. Unamaanisha fremanson au illuminato?!. Ktk encarta encyclopedia kuna sehemu inasomeka hivi: a secret masonic society with republican views was formed in 1776 by adam w, a prof of canon law in germany. This grp called illuminat bcos they claimed exclusive right 2the illumination of jesus, was anti-jesuit and was suppressed in 1785. Inaendelea kusema "members of the rosicrucian order, AMORC, a fraternal order based in calfornia, hv sometimes bn called illuminati".

Bilderberg, Masonry au Illuminati, et al, I don't know which one is the subset of the other, lakini they all secret society na usitegemee wakaeka mambo yaoyote hadharani. Wataweka to some information kwenye public domain, zile ambazo ni kama smoke screen..mambo ya sijui Lions Club, miradi ya kijamii et c , its all bullsh!t..ni smoke screen..of course kama nilivosema, kuna uwezekano mkubwa wa grand corruption and thievery inayotokea nchini ina connection na hawa watu..nimetoa mfano hapo juu. Pia huenda kuna watu ni members wa ngazi ya chini lakini hawajua madudu yanayofanyika huko na washika mpini huko on the top of the pyramid.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom